Mwanamke kukosa uteute ukeni tatizo lake ni nini?

Mwanamke kukosa uteute ukeni tatizo lake ni nini?

mume amewah kuku saliti ukajua?unajionaje kwa ujumla mwili wako?
 
Inaelekea papuchi inamakovu maana vilainishi hakuna... Kama vipi tumia ky wakat wa migegedo au mmeo hajui kukuanzishia segere.
 
Njoo m nna uzoefu na mambo hayo..ukishindwa kutoa kwangu basi ujue hutatoa milele...
 
Hali kama hiyo hujitokeza sana kwa wanawake Ila nadhani ni hali ya kisaikolojia either mwanamke hajosikii kufanya tendo la ndoa mwanaume analazimisha huo Ute utatoka wapi?
 
Mwanamke kutopata ule ute ute hali hii inatokana na nini maana mimi huwa siupati hata nikikaribia ovulation siupati kabisa naombeni munisaidie kama kuna uwezekano hata wa kutumia dawa nami nikawa nao karibuni kuchangia
Ute ute umemalizwa. Ulianza mapema hako kamchezo. Si unajua chemchemi hukauka kwa sababu ya kuharibu vyanzo vya maji!!!
 
Hilo ni tatizo kwanza unatakiwa uondoe hali ya huhisi kama ni tatizo pia jitahidi kujijengea hisia has a ukiwa faragha na mumeo, pia kuna vitu vinaweza kukusaidia kubusti kama kuangalia picha za x wakati ukiwa na Mr auhata pekeako, na kuwa na mida wa kutosha wa maandalizi kiwa na mumeo kabla ya tendo na kunabaadhi ya vyakula vinaweza kusaidia
Vipi kuhusu mdada anayeanza akiwa na maji ila akisha kojozwa kama mara tatu mashine inakauka kau anasaidiwaje?
 
Ipo dawa lakini inatakiwa iwekwe ndani ya tumbo lako....ila haitakiwi uwekwe na mumeo au mpenzi wako...njoo PM tuyajenge.....tatizo dogo tu hilo..ila ukubali masharti
 
Kiukweli unahitaji deki. Pia mwambie mumeo awe anakuchezea kama 45 minutes mpaka huo unyevu nyevu utaupata. Mwambie awache kukurukia kama tingo wa daladala na akutengeneza kama samaki wa kupaka.[emoji6] [emoji39]
Hata achezewe lisaa lizima kama hana hisia hamna kitu,
Waangalie malumbano yao inawezekana wanakwazana mara kwa mara.
 
tuko wengi, hata ukivaa underwear inatoka kama ilivo hata tu ute kidogo hamna..
iwe ovulation iwe nini hali kadhalika
 
Back
Top Bottom