Mwanamke kulia kwa sababu ya mchepuko

Mwanamke kulia kwa sababu ya mchepuko

Nimejiuliza sana kwa aliyoyafanya huyu jirani yangu

Huyu mwana mama ana mume wake na watoto 4 na wa kwanza yupo kidato cha 4 wa mwisho yupo drs la 3

Huyu mwanamama alikuwa na mchepuko wake,sasa jana wakazenguana na mchepuko wake na mchepuko umemwambia kuachana naye

Mwanamama amebaki kulia tu,amesononeka,ameonekana kama amevurugwa vibaya mno

Amekuwa mkali kwa mumewe na watoto na hata majirani zake, amelala na hataki kufanya shughuli zingine za kawaida

Mchepuko mwenyewe sio kwamba anamsaidia sana katika mambo ya kiuchumi,maana alivyo hana hili wala lile

Mwanamke amebaki kutuma watu kwenda kwa mchepuko wake asimuache,akimuacha atakufa

Mume wake yeye anadhani mke wake anaumwa

Nimebaki najiuliza,hivi kumpenda mchepuko kiasi hiko na huku una mume wako wa ndoa,na je huyo mume wako unampendaa?????

Unawezaje kugawa upendo kwa wanaume wawili kwa mkupuo?

Nilifikiri kuachwa na mchepuko ni kitu rahisi maana una wako wa ndani kumbe sio kitu rahisi ninavyodhani

Sio siri nimebaki nasikitika
Hujawai suguliwa uchi kisawasawa

Achana kabisa na sumu ya penzi

Kinga halisi ya mapenzi ni kutoionja sumu yake. Siku ukijaribu tu,!! umekua teja tayari

Mungu Fundi
 
Mamy inaelekea wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mambo ya watu.....

Any way labda mchepuko anamgonga vizuri huyo maza wacha alie tu... Kileleni kutamu ohooooo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! Kuna watu hawako timamu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata Kama jamani ndio na kuangusha kilio..aibu hii
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimejiuliza sana kwa aliyoyafanya huyu jirani yangu

Huyu mwana mama ana mume wake na watoto 4 na wa kwanza yupo kidato cha 4 wa mwisho yupo drs la 3

Huyu mwanamama alikuwa na mchepuko wake,sasa jana wakazenguana na mchepuko wake na mchepuko umemwambia kuachana naye

Mwanamama amebaki kulia tu,amesononeka,ameonekana kama amevurugwa vibaya mno

Amekuwa mkali kwa mumewe na watoto na hata majirani zake, amelala na hataki kufanya shughuli zingine za kawaida

Mchepuko mwenyewe sio kwamba anamsaidia sana katika mambo ya kiuchumi,maana alivyo hana hili wala lile

Mwanamke amebaki kutuma watu kwenda kwa mchepuko wake asimuache,akimuacha atakufa

Mume wake yeye anadhani mke wake anaumwa

Nimebaki najiuliza,hivi kumpenda mchepuko kiasi hiko na huku una mume wako wa ndoa,na je huyo mume wako unampendaa?????

Unawezaje kugawa upendo kwa wanaume wawili kwa mkupuo?

Nilifikiri kuachwa na mchepuko ni kitu rahisi maana una wako wa ndani kumbe sio kitu rahisi ninavyodhani

Sio siri nimebaki nasikitika
mzee betri ukichomolewa kijiji kinawaka moto, chota wese kwa tahadhali kubwa
 
Kuna binadamu wanasikitisha sana...

Ila mpaka wewe unajua kama kisirani cha huyo mwanamke sababu ni kuachana na mchepuko wake, mume wake anashindwaje kujua au kugundua?

Cc: mahondaw
 
Nimeamini kwa nini ilibidi Mungu ampe Adam usingizi mzito ili amuumbe Hawa toka ubavuni kwake. Kwa kifupi sie wanaume yatupasa kuishi na wanawake kwa akili.
Mmh!
 
Back
Top Bottom