Mwanamke kulia kwa sababu ya mchepuko

Mwanamke kulia kwa sababu ya mchepuko

Nilishawahi kuliliwa na mchepuko mpaka nikawa najishangaa,Mimi sura mbovu mumewe handsome,heee tulipendana vibaya!!! Alikuwa zaidi ya yf daaaa maisha haya[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
 
Yani mwanamke ni kumkaza haswaa hatakuacha wala kukusahau.

Huyo analilia mikazo Ile heavy.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi unajua kukojozwa wewe???? Haya tu
Mwambie huyo,si mchezo kukojozwa ni kitu kingine Kwa mwanamke.Kuna bidada huku nimempatia namkojoza balaaa.Amenibana niende kwao.
 
Hata mimi kuna mmama ananililia...

Nimemwambia huwa sirudi mara mbili[emoji41]
 
Mwambie huyo,si mchezo kukojozwa ni kitu kingine Kwa mwanamke.Kuna bidada huku nimempatia namkojoza balaaa.Amenibana niende kwao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Nimejiuliza sana kwa aliyoyafanya huyu jirani yangu

Huyu mwana mama ana mume wake na watoto 4 na wa kwanza yupo kidato cha 4 wa mwisho yupo drs la 3

Huyu mwanamama alikuwa na mchepuko wake,sasa jana wakazenguana na mchepuko wake na mchepuko umemwambia kuachana naye

Mwanamama amebaki kulia tuu, amesononeka,ameonekana kama amevurugwa vibaya mno

Amekuwa mkali kwa mumewe na watoto na hata majirani zake, amelala na hataki kufanya shughuli zingine za kawaida

Mchepuko mwenyewe sio kwamba anamsaidia sana katika mambo ya kiuchumi,maana alivyo hana hili wala lile

Mwanamke amebaki kutuma watu kwenda kwa mchepuko wake asimuache,akimuacha atakufa

Mume wake yeye anadhani mke wake anaumwa

Nimebaki najiuliza,hivi kumpenda mchepuko kiasi hiko na huku una mume wako wa ndoa,na je huyo mume wako unampendaa?

Unawezaje kugawa upendo kwa wanaume wawili kwa mkupuo?

Nilifikiri kuachwa na mchepuko ni kitu rahisi maana una wako wa ndani kumbe sio kitu rahisi ninavyodhani

Sio siri nimebaki nasikitika
Ni mboo hiyo inamliza... Kuna watu mafundi, unakuta mumewe mwanaume wa kinondoni Dk 2 tu chalii
 
That's why wanawake ni rahisi sana kufumaniwa.

We fall too fast and too deep and we become blind.

Pap tunadakwa.
 
Hiyo jirani yako kwa nini hakwenda kuchota mafuta Moro tungemsahau
 
Nimejiuliza sana kwa aliyoyafanya huyu jirani yangu

Huyu mwana mama ana mume wake na watoto 4 na wa kwanza yupo kidato cha 4 wa mwisho yupo drs la 3

Huyu mwanamama alikuwa na mchepuko wake,sasa jana wakazenguana na mchepuko wake na mchepuko umemwambia kuachana naye

Mwanamama amebaki kulia tuu, amesononeka,ameonekana kama amevurugwa vibaya mno

Amekuwa mkali kwa mumewe na watoto na hata majirani zake, amelala na hataki kufanya shughuli zingine za kawaida

Mchepuko mwenyewe sio kwamba anamsaidia sana katika mambo ya kiuchumi,maana alivyo hana hili wala lile

Mwanamke amebaki kutuma watu kwenda kwa mchepuko wake asimuache,akimuacha atakufa

Mume wake yeye anadhani mke wake anaumwa

Nimebaki najiuliza,hivi kumpenda mchepuko kiasi hiko na huku una mume wako wa ndoa,na je huyo mume wako unampendaa?

Unawezaje kugawa upendo kwa wanaume wawili kwa mkupuo?

Nilifikiri kuachwa na mchepuko ni kitu rahisi maana una wako wa ndani kumbe sio kitu rahisi ninavyodhani

Sio siri nimebaki nasikitika
Kataa ndoa
 
Back
Top Bottom