mjue kitu kimoja wanaume vitu vingi huwa wanafanya for love ,but wanawake hatupo hivo...
take this example nyani assume mimi na wewe ni mume na mke tuna mtoto tukawekeana zamu ya kumnunulia nguo ..kila mwezi ,mwezi huu wa kwako ujao wa kwangu...then zamu yangu ikafika bahati mbaya sina hela ...hapo nadhani utanunua nguo..Alaaaa....kumbe!?!?
ila kuna mdada huyo, ameolewa. mumewe yupo mbali kimasomo, hapa bongo ana mpenzi mume wa mtu pia!, na hapo hapo ana mpenzi ambaye ni bachelor ila kipato cha bachelor ni kikubwa kuliko mume wa mtu mpenzi wake. so anachokifanya dada huyu, ni kutoa pesa kwa bachelor kwenda kumnunulia huyu mpenzi mume wa mtu vizawadi! yaani mi huwa nachookaaaa, na toka nijue hii habari nimemdharau sana! lol, dunia ina mengi ya kujifiunza!
take this example nyani assume mimi na wewe ni mume na mke tuna mtoto tukawekeana zamu ya kumnunulia nguo ..kila mwezi ,mwezi huu wa kwako ujao wa kwangu...then zamu yangu ikafika bahati mbaya sina hela ...hapo nadhani utanunua nguo..
but kwa mwanamke as long sio zamu yangu sitanunua hata kama nina hela...so ugomvi nini nini si unajua...wanaume sometimes mna mioyo tofauti manatake vitu sometimes easy sisi tunacompicatisha sana....mna love kiukweli..ulishawai kuona mwanamke anatoa lift wewe?
jamani hili neno la kuhonga,halipendezi.wengi wameshasema,sio vibaya kumnunulia mpenzi wako vijizawadi.ila tatizo linakuja,wanaume wengine wanunuliwe wao tu,hapo haipendezi.wewe ukimnunulia,inapendeza na huyo mwanamme mara moja moja anunue.lakini wanaume wengine wanapenda dezo,ambayo ikipitiliza inakuwa mwanamke unachunwa.
mbona huelewi ? nadhani ulifeli la nne wewe..ni hivi utoaji wa mwanaume upo hivi ni care ni wajibu ni love..upendo ..ila mwanamke sio hivo yaani anatoa tu kutaka maybe control ya kitu and the like..sio pure controled na moyo wake...Kuna saa nakupata, kuna saa sikupati
Hasa unaposema mwanamke hapendi sababu hatoi vitu
MSio kwamba wanawake jundi kubwa hatuna kitu cha kutoa?
Na pale tunapikuwa nacho tukitoa tunaonekana tunanunua penzi??
Mwanamke kutotoa 'lift' ni defence ya kike tu, kuna wakaka ukiwapa lift siku tatu tu anaanza matongozo.
Smile unaongea so authoritatively......kuna kautafiti hivi kadogo ka kuback up ur claims?mbona huelewi ? nadhani ulifeli la nne wewe..ni hivi utoaji wa mwanaume upo hivi ni care ni wajibu ni love..upendo ..ila mwanamke sio hivo yaani anatoa tu kutaka maybe control ya kitu and the like..sio pure controled na moyo wake...
waambie bwana ....ndo maana ya kutoa ni control mechanism hakuna love wala ninishapewa vitu vingi na demu --- ila sometimes sio vizuri, inafika hatua fulani anaanza kuku-comand
this is soooo funny.... hivi wanawake mnapokuwa mstari wa mbele kudai usawa huwa mmesahau the so called 'specialization na division of labour' aliyotoa Mungu?
i wish mtu anihonge jamani loh!
kidogo tu bana mi nipo simple mbona? hata hug tunatamani kukuhonga lakini sidhani kama utatosheka na kile nitakachokuhonga
Naomba kupata mawazo yenu
imekaaje kwa mwanamke 'kumhonga' mwanamme?
Nadhani nimeishi kwenye jamii amabayo mwanamme ndio 'breadwinner' na ndio inaonekana halali hata yeye kumhonga mwanamke na si kinyume chake.
Labda nitoe mfano
Mdada ana kipato kuliko mpenzi wake (ikimbukwe si mme)
Na kuna vitu ambavyo anataka kumpa ili waende sambamba
vinaweza kuwa vitu vidogo vidogo kama mavazi n.k na aina hizo za huduma.
Je hii imekaaje? Inakubalika machoni pa walaji?
Na kama wewe ni mkaka mwanamke akikupa vitu hivyo utajisiakiaje?
Kani hayo mambo anayafanya hadharani mpk aogope macho ya watu?
Kama ni hivyo mfano wako shopping mall flan ivi, kwann mdada asimpe hela mwanaume wakiwa nyumbani, afu wakifika shopping mwanaume ndo awe analipa kama zake?
mbona huelewi ? nadhani ulifeli la nne wewe..ni hivi utoaji wa mwanaume upo hivi ni care ni wajibu ni love..upendo ..ila mwanamke sio hivo yaani anatoa tu kutaka maybe control ya kitu and the like..sio pure controled na moyo wake...
Kuhonga/kutoa zawadi...inategemea:
- Motive.....whats the motive behind as kwa wengine, kama walivogusia, huwa inaenda mbali zaidi ya kuonyesha kujali...ni kuonyesha umiliki fulani hivi
- kwa maana ya kuonyesha usawa wa kijinsia....sioni tatizo kwa pande mili me/ke kuhongana au kupeana zawadi bila kujali kipato
- Sikubaliani na Rose80 anayedai specialization of labor kulingana na vitabu vya dini...usawa walioulilia uko wapi? nadhani tusichanganye traditional roles na social roles maana hakuna namna kwa hali ya kawaida mwanaume atabeba mimba!
- @smile ado unaonyesha utata sana kwen suala la kupenda na kutoa zawadi...siamini kama wanawake hawapendi kama wanaume
Ki ujumla, mimi pia sioni ubaya wowote kwa pandezote mbili 'kuhongana' ili mradi nia ni nzuri na outcome ni kuwa na penzi stahimilivu/himilivu. Nature ya uhusiano sidhani kama ina nafasi sana kwenye hili haijalishi kama ni wanandoa au wapenzi (hivi wanandoa sio wapenzi Kongosho)?
Smile unaongea so authoritatively......kuna kautafiti hivi kadogo ka kuback up ur claims?