Mwanamke 'kumhonga' Mwanamme . . .

Mwanamke 'kumhonga' Mwanamme . . .

Kinachonitatiza hapa nikuwa
Huwa inaonekana sawa mwanamke kutoa vizawadi pale mwanamme anapokuwa na kipato kuliko mwanamke.

Lakini inapokuwa mwanamke ana kipato kuliko mwanamme hapo ndo utata huanza
huonekana kama mwanamke ananunua penzi.

Kwa hiyo, si halali mwanamke kumhonga mwanamme anapomzidi kipato?

na huku sio kuhonga ni kubadilishana vijizawadi
 
Shugamami ni mtu wa aina gani?

Je wakati mwanamke ana kipato kuliko mwanamme asimtoa 'out'?

hivi mpenzio akiwa na mood nzuri akakutoa out au kukunulia kitu ukipendacho, hiyo ni kukuhonga au vipi? hapa siongelei shugamami bali watu wenye kipato sawa
 
Ndio, tegeka basi.
Toa maoni basi, nataka kufanya :baby:tukio mahali.
mimi mwalimu wa primary hivi mwanaume mwenye kipato cha chini yangu si ina maana hana kitu kabisa jamani? huyo simtaki loh!
 
..Labda nitoe mfano
Mdada ana kipato kuliko mpenzi wake (ikimbukwe si mme)
Na kuna vitu ambavyo anataka kumpa ili waende sambamba
vinaweza kuwa vitu vidogo vidogo kama mavazi n.k na aina hizo za huduma.

Je hii imekaaje? Inakubalika machoni pa walaji?
Na kama wewe ni mkaka mwanamke akikupa vitu hivyo utajisiakiaje?
Kwanza hii dhana ya kuhonga inakuwepo kama hakuna mapenzi (hiari). Kama mmependana na mmoja wenu anampa mwingine kitu chochote kwa hiari yake hapo inakuwa kama zawadi tu au support (kusaidiana). Suala la kuhonga linakuja tu kama mmoja (aghalabu anayependa/anayetamani) anatoa vitu kwa mwingine ili kupata au kulinda 'penzi' lake (asipotoa vitu hivyo hapati penzi au linaweza kuvunjika).
Kwa ujumla haijazoeleka sana kwa wanaume kuhongwa vitu na wanawake, ukiacha ngono, ili kuingia au kuendelea kudumu kwenye mahusiano.
 
jamani hili neno la kuhonga,halipendezi.wengi wameshasema,sio vibaya kumnunulia mpenzi wako vijizawadi.ila tatizo linakuja,wanaume wengine wanunuliwe wao tu,hapo haipendezi.wewe ukimnunulia,inapendeza na huyo mwanamme mara moja moja anunue.lakini wanaume wengine wanapenda dezo,ambayo ikipitiliza inakuwa mwanamke unachunwa.
 
Shugamami ni mtu wa aina gani?

Je wakati mwanamke ana kipato kuliko mwanamme asimtoa 'out'?
check post za Smile kujua shugamami ni nani?
ni maamuzi yake, sio lazima kumtoa mtu out na kumpa zawadi ila tunafanya hivi maana tunampenda sio kumhonga au kumfanya abaki nasi kwa vile tuna pesa. hata mie kama simfeel binti sitompa zawadi licha ya kwamba nina pesa za kutosha sioni kwa nini hii iwe tofauti kwa wadada
 
Last edited by a moderator:
Nadhani ikitokea mdada akamnunulia mkaka lets say gari (ni wapenzi na sio wachumba) hapo moja kwa moja mdada kahonga, na kweli atakuwa ni KIAZI KIKUU ila vitu vidogocidogo kama boxer na vile vificha majina yetu huko sio kuhonga bwana, mi huwa naita marupurupu!
 
Ha ha ha ha ha, nimekupata
No kwa unayemzidi kipato lol

Mwamvy ana kazi kwa kweli.

mimi mwalimu wa primary hivi mwanaume mwenye kipato cha chini yangu si ina maana hana kitu kabisa jamani? huyo simtaki loh!
 
Umenichekesha sana, kwa hiyo wewe kwako gari ni kitu kikubwa sana??

Let's say mdada anaingiza 15m kwa mwezi, vitz ya 8m kwa mkaka ni kitu gani?

hapo ukute mdada anatembelea hata harrier tu, afu kaka kutwa kucha kwenye daladala, so kumwezesha kutembelea kalio kwa vitz ni mbaya?

Nadhani ikitokea mdada akamnunulia mkaka lets say gari (ni wapenzi na sio wachumba) hapo moja kwa moja mdada kahonga, na kweli atakuwa ni KIAZI KIKUU ila vitu vidogocidogo kama boxer na vile vificha majina yetu huko sio kuhonga bwana, mi huwa naita marupurupu!
 
Kwa ninavyojua kuonga maana yake unatoa kitu fulani ili uweze kupata kitu fulani,mathalani;mwanaume humuonga mwanamke ili labda kumvuta katika hisia zake kimapenzi au vinginevyo,watu wakishakuwa kwenye mahusiano pia wanaweza kuhongana.mpenzi akiniletea zawadi ya boxer,tisheti na mengineyo hizo zinakuwa ni zawadi na sio hongo and the same to me nikimnunulia zawadi girlfriend haiwezi kuwa ni hongo.Mwanamke ambaye sipo naye katika mahusiano na akaonyesha binafsi kuwa na hisia za kimapenzi kwangu na akaniletea vitu mbalimbali hiyo itakuwa ni hongo kitu ambacho ni haki yake sema tu jamii yetu tumeshajenga imani kuwa anayetakiwa kuhonga ni mwanaume tu kitu ambacho si kweli.kama nimejieleza vizuri nashukuru ila kama nimeboronga au kukosea naomba mnisahihishe.
 
Umenichekesha sana, kwa hiyo wewe kwako gari ni kitu kikubwa sana??

Let's say mdada anaingiza 15m kwa mwezi, vitz ya 8m kwa mkaka ni kitu gani?

hapo ukute mdada anatembelea hata harrier tu, afu kaka kutwa kucha kwenye daladala, so kumwezesha kutembelea kalio kwa vitz ni mbaya?

Ndo mana nikakwambia huyo wa kununua vitz ni kiazi kikuu na huko ndo kumhonga mwanaume, mi sio mwanamke ila kama ningekuwa mwanamke hata kama per month naingiza 40 million, simnunulii mwanaume hata used vitz ya million 1. Ni mtizamo wangu tu Kongosho
 
Nakapanya, hakuna mwenye marking scheme hapa

Wote tunajaribu tu kuangalia mitazamo tofauti na kujaribu pata mantiki, mchango wako muhimu.

Nimependa ulivyofafanua maana ya kuhonga

Kwa hiyo nataka kujiaminisha, kama unampenda mtu haumhongi bali unampa zawadi
(bora kuita koleo kijiko:redface: kikubwa lol)

Kwa ninavyojua kuonga maana yake unatoa kitu fulani ili uweze kupata kitu fulani,mathalani;mwanaume humuonga mwanamke ili labda kumvuta katika hisia zake kimapenzi au vinginevyo,watu wakishakuwa kwenye mahusiano pia wanaweza kuhongana.mpenzi akiniletea zawadi ya boxer,tisheti na mengineyo hizo zinakuwa ni zawadi na sio hongo and the same to me nikimnunulia zawadi girlfriend haiwezi kuwa ni hongo.Mwanamke ambaye sipo naye katika mahusiano na akaonyesha binafsi kuwa na hisia za kimapenzi kwangu na akaniletea vitu mbalimbali hiyo itakuwa ni hongo kitu ambacho ni haki yake sema tu jamii yetu tumeshajenga imani kuwa anayetakiwa kuhonga ni mwanaume tu kitu ambacho si kweli.kama nimejieleza vizuri nashukuru ila kama nimeboronga au kukosea naomba mnisahihishe.
 
Naheshimu sana mtazamo wako kwenye hili, ndio raha kupata mawazo tofauti.

Kwa hiyo, mdada mwenye asiwe na mpenzi anayemzidi sana kipato?

Unajua kuna pale unatamani uliyenaye muendane endane angalau, sasa hapa itakuwaje?

Ndo mana nikakwambia huyo wa kununua vitz ni kiazi kikuu na huko ndo kumhonga mwanaume, mi sio mwanamke ila kama ningekuwa mwanamke hata kama per month naingiza 40 million, simnunulii mwanaume hata used vitz ya million 1. Ni mtizamo wangu tu Kongosho
 
mjue kitu kimoja wanaume vitu vingi huwa wanafanya for love ,but wanawake hatupo hivo...
 
kama kweli unampenda, utampiga tafu ili muende sambamba... changamoto ni pale unapompiga tafu, halafu na yeye anakwenda kutangaza udume nje ya uhusiano wenu

umegusa nilichotaka kusema cartura. Hivi kwanini tunahonga/hongwa? wengi tutasema ni kuonyesha upendo, unajali n.k. Lakini hivyo vyote mi huwa naita ni visingizio tu as there is more than that. tena hasa hasa ni hicho unachojaribu kusema hapo kwa red. Ukifikiri zaidi utakuta yule anayeonga (awe mwanamke au mwanaume) mwisho wa siku anataka ku-create ile sense of ownership/possessiveness.
 
ila kuna mdada huyo, ameolewa. mumewe yupo mbali kimasomo, hapa bongo ana mpenzi mume wa mtu pia!, na hapo hapo ana mpenzi ambaye ni bachelor ila kipato cha bachelor ni kikubwa kuliko mume wa mtu mpenzi wake. so anachokifanya dada huyu, ni kutoa pesa kwa bachelor kwenda kumnunulia huyu mpenzi mume wa mtu vizawadi! yaani mi huwa nachookaaaa, na toka nijue hii habari nimemdharau sana! lol, dunia ina mengi ya kujifiunza!
 
Back
Top Bottom