Mwanamke 'kumhonga' Mwanamme . . .

Kani hayo mambo anayafanya hadharani mpk aogope macho ya watu?

Kama ni hivyo mfano wako shopping mall flan ivi, kwann mdada asimpe hela mwanaume wakiwa nyumbani, afu wakifika shopping mwanaume ndo awe analipa kama zake?

Sasa kuna tofauti gani kupewa hela mkiwa nyumbani ili wewe ukazitoe mbele za watu?
Huoni kama ni 'inferiority' ya hali ya juu sana?

Unamdanganya nani? wauzaji wa mall? wanakujua hata?

Mie nadhani mwenye hela hujulikana tu kati ya wawili


Sasa kama kumnunulia shati ni nongwa sembuse kumpa mtaji?
Si ndio utaonekana unamNUNUA kabisa, itaonekana kama limbata live.
 
 
Last edited by a moderator:
Du,mwanaume anapohonga,mara nying anataka 2nda huyo,penz zaid hakuna kingine lakin huumia zaid ackiapo dem nae anahonga...hapo utasababisha majanga.
 
Sioni mbaya Kama mpenzi wake hana na wewe mambo safi why not, huko sio Juno ga Bali unataka apendeza na awe na hadhi Kama yako au hata awe afadhali kidogo...
 

Si mlilia nyie Beijing...
 

Mhhhh! Rose1980!!! Haya bana!!!!

 
Last edited by a moderator:
Napokea tu. Ila zisiwe zawadi zenye fahari kubwa sana kiasi kwamba niaonekana nalelewa kama yule kinyozi mkongo mtaani kwetu. The most important thing for me is to feel comfortable, her financial comfort should not make me feel poor. Nikianza kujiskia hivo nasepa, full stop!
 
Dah, kumbe inaweza kufanya ukajisikia 'poor'

Kwani kabla ya kuingia kwenye mahusiano si uliona kabisa anakupiga bao kwa mahela?

 
kwa kigezo chochote ni halali tatizo hapa wanaume walijipa utawala usio ridhaa kwamba wao ndo kila kitu sasa dunia ya leo inapokea mapinduzi katika nyanja nyingi mapenzi yakiwemo.ni kama uongozi wa nchi aliyepo madarakani anaona kama ameumbwa kutawala kumbe kila zama ina tabia na mienendo yake.bila kusahau wivu na woga unaosababishwa na kukosa kujiamini.kama sio halali ni kwanini vijiweni na mitaani wanaongezeka wanaume na wavulana wanaotaka kulelewa.kama unampa mchumba,bf,mume mpe kwa roho safi.hataki anaacha.
 
cjawahi kuhonga,wala cjawai kuhongwa zaid napenda kutoa ki2 kwa mpenzi wangu bila kuwa na na matarajio ya ki2 chochote kutoka kwake zaid ya upendo wake kwangu ambao upo naturaly bila ata ya kuho...pia cpend m2 wa 3 ajue nimempa nn mpenzi wangu coz haiwahusu.
 
Dah, kumbe inaweza kufanya ukajisikia 'poor'

Kwani kabla ya kuingia kwenye mahusiano si uliona kabisa anakupiga bao kwa mahela?
Mi nilidhani tunazungumzia vijizawadi vya kawaida vya hapa na pale, mimi nampa na yeye ananipa. Kama alikuja kwa gia hiyo hanipati! Imagine wewe unamnunulia earings nzuri tu za shanga za kimaasai yeye anakupa a Tissot watch, 1990 collection vintage... wapi na wapi? mara moja sawa. Next time wewe unampeleka diner out yeye anakupeleka a week in Seychelles. Hapo lazima uanze kuona hamlingani, her financial wealth will make me feel uncomfortable. Mara ya tatu anakualika kwenye party ya rafiki zake, wote wana financial status yake, wanaongelea masafari zao US na UK wakati mimi ile ya Seychelles ndio ilikua mara yangu ya kwanza kutoka bara, hata zenj sijawahi kufika. Hapo hata kama mengine tunapatana, itabidi tuachane tu, nikatafute yule nitakae kua nae comfortable.
 
Dah! So sad lol

Anyway, uhuru wako aisee.

 

hapa pagumu sana.
Umuhimu wa kuwa na mwenza mnae fanana kidogo status zenu ndio hapo una onekana lasivyo kila siku utajiona mnyonge sana.

Hapo kwa hayo mazingira mwanaume lazima nijione mnyonge sana hata kama si nyanyaswi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…