Mwanamke kumtongoza mwanaume hii imekaaje?

Mwanamke kumtongoza mwanaume hii imekaaje?

Wanaume wanyewe maharage ya wapi sijui, maji mara moja mkitongozwa hamkatai. Haya mkuu hongera.
Mwanaume anaweza kukubali kirahisi hata kama hajampenda mwanamke,coz hapo anataka apige tu,kumbuka,Mwanaume anaweza kulala na Mwanamke ambaye hampendi,ndio maana utakuta Mume anakua na mchepuko ila penzi kwa mkewe lipo pale pale.
 
Mwanaume anaweza kukubali kirahisi hata kama hajampenda mwanamke,coz hapo anataka apige tu,kumbuka,Mwanaume anaweza kulala na Mwanamke ambaye hampendi,ndio maana utakuja Mume anakua na mchepuko ila penzi kwa mwanamke lipo ple pale.
Hahahhaha hata kama ,muwe mnakataa.
 
ephen_ na wewe jaribu bahati yako. Unaweza ukashangaa nakukubalia. Ila ujipange kweli kweli! Siyo unakuja kunitongoza, halafu unauma uma vidole na kung'ata kucha!
 
Nimekumbuka miaka kadhaa iliyopita nilikuwa nafanya kazi kwenye kiwanda fulani maeneo ya A-town.

Mida ya 'lunch break' tumekaa nje ya kiwanda tunapunga upepo na kupiga stori mabalimbali,
mara akatokea msichana mmoja akaniita, akaniambia ana maongezi na mimi kama sitajali,
Basi nikamwambia hakuna shida, wakati huo sikuwa na wazo lolote kuhusu mapenzi nilijua labda ni mambo ya kazi kwa sababu wasichana wengi walikuwa wanakuja kuulizia nafasi za kazi.

Basi yule dada akaanza kuongea, akaniambia ametokea kunipenda sana anaomba niwe mpenzi wake live bila chenga, mara akaanza kulia ananiambia nisimuelewe vibaya, basi ili kuua soo nikambembeleza nikamwambia tutawasiliana baadae ili aondoke.

In short hiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza kutongozwa na msichana japo baaadae iliwahi kunitokea tena mara kadhaa, nikaja kugundua kuwa ni mambo ya kawaida, mwanamke kumtongoza mwanaume haimaanishi ni malaya au vinginevyo, wana haki ya kueleza hisia zao japo kwa tamaduni za ki Afrika inaweza isiwe kitu cha kawaida.
Ukiona mwanamke anakutongoza mwanamme jua ni mpango wa kukuteka na wasiyojulikana. Ndicho kilichomtokea Sativa.
 
Im sorry, bado sijajiandaa kisaikolojia kupokea mtihani wa sampuli hiyo, na kama ukitokea ataniacha na maswali elfu moja najiuliza nikose majibu, japo najua nao wana haki ya kupenda na kufunguka, lakini....
Hakuna mtihani mgumu kama mwanaume kutongozwa na msichana asee.... Kama hujawahi kukutana na hiyo scenario,....
 
Nimekumbuka miaka kadhaa iliyopita nilikuwa nafanya kazi kwenye kiwanda fulani maeneo ya A-town.

Mida ya 'lunch break' tumekaa nje ya kiwanda tunapunga upepo na kupiga stori mabalimbali,
mara akatokea msichana mmoja akaniita, akaniambia ana maongezi na mimi kama sitajali,
Basi nikamwambia hakuna shida, wakati huo sikuwa na wazo lolote kuhusu mapenzi nilijua labda ni mambo ya kazi kwa sababu wasichana wengi walikuwa wanakuja kuulizia nafasi za kazi.

Basi yule dada akaanza kuongea, akaniambia ametokea kunipenda sana anaomba niwe mpenzi wake live bila chenga, mara akaanza kulia ananiambia nisimuelewe vibaya, basi ili kuua soo nikambembeleza nikamwambia tutawasiliana baadae ili aondoke.

In short hiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza kutongozwa na msichana japo baaadae iliwahi kunitokea tena mara kadhaa, nikaja kugundua kuwa ni mambo ya kawaida, mwanamke kumtongoza mwanaume haimaanishi ni malaya au vinginevyo, wana haki ya kueleza hisia zao japo kwa tamaduni za ki Afrika inaweza isiwe kitu cha kawaida.
Wa chuga kiboko.. aliwahi kunitemea madini mdada flani hiv simsahau.. ana sound flan hiv na maswaga kibao sema bahat yake sikumbanduaga
 
Ngoja na mie nikae hapa huenda nikatongozwa 😀😀😀😉
 
Back
Top Bottom