Mwanamke kumtongoza mwanaume hii imekaaje?

Mwanamke kumtongoza mwanaume hii imekaaje?

Shule tulikua tunafanya hako Ka mchezo Kwa wale boys wapole,waliokaa kilokole lokole hivi! Basi wenyewe wanaona aibu wanajifanya kukasirika😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom