Mwanamke kushika mimba.

Mwanamke kushika mimba.

Joseph Isaack

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
450
Reaction score
89
Habari zenu wana jamvi. Niko na mke wangu karibuni mwaka sasa tangu tuoane na kufunga ndoa lakini bado hatujabahatika kupata mtoto. Kuna wakati mke wangu huhisi dalili zote za ujauzito ikiwemo kuchefuchefu, kupatwa na kizunguzungu, maumivu ya tumbo chini ya kitovu, na pia huweza kupitisha tarehe zake hata kwa muda wa siku 5 au zaidi, lakini baadae huziona siku zake kama kawaida. Sasa naomba msaada wenu kwa wanaojua je tatizo ninini, na pia je mimba huchukua muda gani kuonekana kupitia kipimo cha mkojo? Msaada please I get scared.
 
Wahi hospt mkapime viungo vya uzazi.
 
mkuuu kacheki wewe unaweza ukawa na tatizo eg huna nguvu za kutosha
 
mkuuu kacheki wewe unaweza ukawa na tatizo eg huna nguvu za kutosha

It can be so ,kwa sababu kuna wakati alihisi hizo dalili 2kapima mkojo mimba ikawa haikuonekana . Je tatizo la upungufu wa nguvu linatibika?
 
Back
Top Bottom