Mwanamke kusuguliwa miguu ni usafi au kupotoka?

Mwanamke kusuguliwa miguu ni usafi au kupotoka?

getrusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
2,150
Reaction score
1,822
Wakuu habari za jumapili, kumekuwa na wimbi kubwa la wadada na wamama kusafishwa na kusuguliwa miguu kwenye baadhi ya vituo na maduka ya urembo.

Je utamaduni huu mpya unaongia kwa kasi katika jamii yetu hauna madhara kwa tamaduni zetu? Je ni sehemu zipi zenye msisimko kwa mwanamke ambazo anapoguswa kwa ustadi huweza amsha msisimko wake kimapenzi?
 
hii ya mada ya leo ni ladies free night wakaka na wababa tusubirii hapa njee
 
Huo huo mgumu ukiuchezea vizuri unamkojo za
Nalog off
Hilo ndilo lililonitafakarisha ukichukuliwa matatizo ya kisukari waliyo nayo waunaume wengi walio katika ndoa je huu sio mwanya wa wanawake hawa kukidhi haja zao za kimwili? Ni vip wanaweza kuiepuka mitego na ushawishi wa wasugua miguu hawa..?
 
Acha miguu, kuna hadi saloon wanazoenda kunyolewa ma.vuzi, itakua miguu?
Hao hao waosha miguu pia wana maeneo yao ya kwenda kuwanyoa. Wakiona amefurahia huduma ya miguu humgusia pia kuhusu huduma ya kunyolewa kama ataihitaji.
 
Acha muguu, kuna hadi saloin wanazoenda kunyolewa ma.vuzi, itakua miguu?
Hao hao waosha muguu pia wana maeneo yao ya kwenda kuwanyoa. Wakiona amefurahia huduma ya miguu humgusia pia kuhusu huduma ya kunyolewa kama ataihitaji.
Duuh,![emoji134]
 
Huko kwenye masaluni kuna very disturbing stories, especially zile za hali ya chini. Sio kwa wanaume wala wanawake.

Mwisho wa siku, life is about a lot of choices. If they bring meaning to the person living it, let them!
 
Kusugua miguu,kubandika kope,kucha,kupaka rangi na kuremba nyusi ni ajira nzuri sana hapa town acha vijana wajipatie riziki ndo kutafuta maisha huko.
 
Mkeo anaenda kusuguliwa mguu mwishowe atasuguliwa uma,mambo haya nayaona sana tabata
 
Mi nishasema nikimkuta msugua mguu na msuguliwa watapata cha mtema kuni.
Ujinga uliokithiri kwangu kwa mtu asie mmeo akusugue unyayo, kufuli lilowane halafu udhani kuna usalama hapo.
 
Mi nishasema nikimkuta msugua mguu na msuguliwa watapata cha mtema kuni.
Ujinga uliokithiri kwangu kwa mtu asie mmeo akusugue unyayo, kufuli lilowane halafu udhani kuna usalama hapo.
Kuna upuuzi unaiendelea kwa sasa kwa kweli unafanya kizazi hiki kuwa cha ajabu sana, uhuru usio na mipaka kwa kweli ni uenda wazimu wa kiwango kikubwa sana.
 
Huko kwenye masaluni kuna very disturbing stories, especially zile za hali ya chini. Sio kwa wanaume wala wanawake.

Mwisho wa siku, life is about a lot of choices. If they bring meaning to the person living it, let them!
Upo? Nimekumiss[emoji8]
 
Kama una mke au mchumba anasuguliwa miguu na wakaka, au anawekwa makucha na makope ya bandia ujue hapo hauna mke bali pepo. Hapo hauna mchumba bali kachumbari. Hiyo ni mali ya umma.
 
Wanawake wanaokwenda kusuguliwa miguu wengi hawana ndoa laiti wangekuwa na ndoa kwa staili ile wanayosuguliwa wangekuwa na hofu ya waume zao.
 
Hilo ndilo lililonitafakarisha ukichukuliwa matatizo ya kisukari waliyo nayo waunaume wengi walio katika ndoa je huu sio mwanya wa wanawake hawa kukidhi haja zao za kimwili? Ni vip wanaweza kuiepuka mitego na ushawishi wa wasugua miguu hawa..?
Usihangaike mkuu,mwanamke anajichunga mwenyewe na ukiamua kumfuatilia Kila afanyacho Basi siku atakayokwambia mfungue kanga anataka kwenda chooni kwa kuwa hataki kuichafua kwa unga Wa ngano uliopo mikononi mwake Basi ndio ujue kuna jamaa kafichwa chooni anaenda kumpa mambo
Nalog off
 
Back
Top Bottom