Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe mkuu,mambo haya hupita, na hua ni ya muda tu na husababishwa na mambo ya kuigana,Ni moja ya fashion,itapita kama nyingine zilizopita...
Wanaume bwana mbona nyie mnasuguliwa videvu na wanawake masaloon.
Na kusuguliwa kidevu huku kifua kimekuinamia unaona ni sawa?Hiv kidevu na kusuguliwa mguu had kulikootea miguu anapaona sawa?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hilo ndilo lililonitafakarisha ukichukuliwa matatizo ya kisukari waliyo nayo waunaume wengi walio katika ndoa je huu sio mwanya wa wanawake hawa kukidhi haja zao za kimwili? Ni vip wanaweza kuiepuka mitego na ushawishi wa wasugua miguu hawa..?
😂😂Acha miguu, kuna hadi saloon wanazoenda kunyolewa ma.vuzi, itakua miguu?
Hao hao waosha miguu pia wana maeneo yao ya kwenda kuwanyoa. Wakiona amefurahia huduma ya miguu humgusia pia kuhusu huduma ya kunyolewa kama ataihitaji.
Watakuwa wanaume wa DarMbona hata wanaume wanasuguliwa miguu
Asavali,loooh!!!!Nimejinunulia visugulio vyangu najisugua mwenyew ...huo uharibifu wa hela hapana kwakweli
Hiyo ni hatari, tena wanafuata nyumban pindi Mzee yupo kazini!! Kwann asije pindi mume yupo?Na kuna ka mtindo ka hao wasugua miguu kuwafata majumbani kabisa
Kweli kabisa,wanaume kuna haja ya makusudi kufunga camera majumbani,hawa wasugua miguu ndio hao hao ambao wanasugua naniliu za wake zetu pindi hatupo nyumbaniHiyo ni hatari, tena wanafuata nyumban pindi Mzee yupo kazini!! Kwann asije pindi mume yupo?