Hilo ndilo lililonitafakarisha ukichukuliwa matatizo ya kisukari waliyo nayo waunaume wengi walio katika ndoa je huu sio mwanya wa wanawake hawa kukidhi haja zao za kimwili? Ni vip wanaweza kuiepuka mitego na ushawishi wa wasugua miguu hawa..?Huo huo mgumu ukiuchezea vizuri unamkojo za
Nalog off
Duuh,![emoji134]Acha muguu, kuna hadi saloin wanazoenda kunyolewa ma.vuzi, itakua miguu?
Hao hao waosha muguu pia wana maeneo yao ya kwenda kuwanyoa. Wakiona amefurahia huduma ya miguu humgusia pia kuhusu huduma ya kunyolewa kama ataihitaji.
Kuna upuuzi unaiendelea kwa sasa kwa kweli unafanya kizazi hiki kuwa cha ajabu sana, uhuru usio na mipaka kwa kweli ni uenda wazimu wa kiwango kikubwa sana.Mi nishasema nikimkuta msugua mguu na msuguliwa watapata cha mtema kuni.
Ujinga uliokithiri kwangu kwa mtu asie mmeo akusugue unyayo, kufuli lilowane halafu udhani kuna usalama hapo.
Upo? Nimekumiss[emoji8]Huko kwenye masaluni kuna very disturbing stories, especially zile za hali ya chini. Sio kwa wanaume wala wanawake.
Mwisho wa siku, life is about a lot of choices. If they bring meaning to the person living it, let them!
Usihangaike mkuu,mwanamke anajichunga mwenyewe na ukiamua kumfuatilia Kila afanyacho Basi siku atakayokwambia mfungue kanga anataka kwenda chooni kwa kuwa hataki kuichafua kwa unga Wa ngano uliopo mikononi mwake Basi ndio ujue kuna jamaa kafichwa chooni anaenda kumpa mamboHilo ndilo lililonitafakarisha ukichukuliwa matatizo ya kisukari waliyo nayo waunaume wengi walio katika ndoa je huu sio mwanya wa wanawake hawa kukidhi haja zao za kimwili? Ni vip wanaweza kuiepuka mitego na ushawishi wa wasugua miguu hawa..?
Upo? Nimekumiss[emoji8]