Kihuba wewe si upo Dar ? Nakufaham sana wala hunidanganyi nakufaham A-Z ...Nipo mie
Huu ndiyo upuuzi wa kufahamiana na watu humu,Kihuba wewe si upo Dar ? Nakufaham sana wala hunidanganyi nakufaham A-Z ...
Khaaaaaa!sasa kama unamfaham ndo unautangazia umma?Kihuba wewe si upo Dar ? Nakufaham sana wala hunidanganyi nakufaham A-Z ...
Hawa kuwasiliana nao ni kusajiri special no.mambo ya kujianika wajue unaishi wapi ni utotoHuu ndiyo upuuzi wa kufahamiana na watu humu,
Sasa mtu asicomment anachotaka?
Kama unamfahamu sisi inatuhusu nini?
Njooo tuonane Leo basi uone kama Nipo darKihuba wewe si upo Dar ? Nakufaham sana wala hunidanganyi nakufaham A-Z ...
Kwann usingeenda huko huko Mwanza mkuu ukajichagulia kwa raha zako kama upo sokoni kuchagua mafungu ya nyanya!!!?Salama wakuu ninatafuta mwanamke yoyote aliyeko serious kutoka mkoa wa Mwanza kwa ajili ya urafiki na mambo mengine yatafata.
Kuhusu mimi
Mkirsto miaka 27
Elimu Bachelor Degree
Nimeajiliwa na najitegemea
Mrefu wala sio mweusi sana
Mwanamke ninayemuhitaji
Dini yoyote ilimradi awe tayari kubadili
Umri miaka 22 hadi 27
Awe na Elimu kiasi hata form 4 sawa tu ilimradi awe mtu mwenye uelewa wa dunia inaenda vipi
Awe na kazi inayompatia kipato maana siwezi mategemezi wa kila kitu
Njoo inboxMimi hapa,natoka Mwanza mixer Ntuzu.