Mwanamke kutoa mkoa wa Mwanza anahitajika

Mwanamke kutoa mkoa wa Mwanza anahitajika

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,585
Reaction score
1,771
Salama wakuu ninatafuta mwanamke yoyote aliyeko serious kutoka mkoa wa Mwanza kwa ajili ya urafiki na mambo mengine yatafata.

Kuhusu mimi
Mkirsto miaka 27
Elimu Bachelor Degree
Nimeajiliwa na najitegemea
Mrefu wala sio mweusi sana

Mwanamke ninayemuhitaji
Dini yoyote ilimradi awe tayari kubadili
Umri miaka 22 hadi 27
Awe na Elimu kiasi hata form 4 sawa tu ilimradi awe mtu mwenye uelewa wa dunia inaenda vipi

Awe na kazi inayompatia kipato maana siwezi mategemezi wa kila kitu
 
Mkuu hakuna mabinti wanaotia jf kutoka mwanza! 😳 😳 🙁 🙁 😉
 
Huu ndiyo upuuzi wa kufahamiana na watu humu,
Sasa mtu asicomment anachotaka?
Kama unamfahamu sisi inatuhusu nini?
Hawa kuwasiliana nao ni kusajiri special no.mambo ya kujianika wajue unaishi wapi ni utoto
 
Salama wakuu ninatafuta mwanamke yoyote aliyeko serious kutoka mkoa wa Mwanza kwa ajili ya urafiki na mambo mengine yatafata.

Kuhusu mimi
Mkirsto miaka 27
Elimu Bachelor Degree
Nimeajiliwa na najitegemea
Mrefu wala sio mweusi sana

Mwanamke ninayemuhitaji
Dini yoyote ilimradi awe tayari kubadili
Umri miaka 22 hadi 27
Awe na Elimu kiasi hata form 4 sawa tu ilimradi awe mtu mwenye uelewa wa dunia inaenda vipi

Awe na kazi inayompatia kipato maana siwezi mategemezi wa kila kitu
Kwann usingeenda huko huko Mwanza mkuu ukajichagulia kwa raha zako kama upo sokoni kuchagua mafungu ya nyanya!!!?
 
Back
Top Bottom