Hayo sio maji.Huwa shahawa hazibaki kwenye mfuko wa uzazi,ukipiga bado zinarudi na kutoka nje.Zingekua zinabaki wanawake wengi wangevimba matumbo.Ni shahawa hizo.Pia jaribu kutumia condom,kama maji yataendelea basi ujue sio shahawa bali atakua na tatizo.Jaribu kavu kavu na pia kwa condom,then ucheck
Jf Dr.
Naomba kuuliza, ni kawaida mwanamke kutokwa majimaji ukeni anapojisikia kufanya tendo la ndoa na majimaji huendelea wakati wa tendo ili kumuongezea radha.Sasa swali langu ni kwamba mwanamke anayetokwa na maji mengi na kuendelea kutoka hata baada ya goli la kwanza hata kupelekea kulala na kitambaa ukeni ili kukausha maji ana tatizo gani? Na nini kifanyike ili kuzuia hali hiyo? Msaada dr.
Wanabodi,
Wenye utaalaam na mambo ya anatomy, naulizia anatomical reasons, why only some do and others don't?.
For those who does, why some just some little fluid and others so much fluid?! appx over a litre mpaka kitanda chote kinaloa, shuka zinaloa hadi godoro linaloa?!. Na kwa vile mhusika huwa anajijua ni "squirting type", huwa anashauri kutangulizwa kwa taulo nzito iliyokujwa mara mbili ili kuzuia kuloa kwa mashuka na kitanda kizima!. Hii situation nimewahi kukutano nayo twice na wahusika wote wawili ni watu wa "British Kingdom!".
Where does so much fluid comes from?. The only organ that keeps such amount of fluid is the blader, but that fluid is clear, odorless, it means its not urine, and its not sticky, means its not lubricants!. What is that fluid?!, and where does such fluid comes from, which organ is it produced and stored?!.
NB.
Haya ni maswali ya medical yanahitaji professional answers na sio mambo yetu yale ndio maana tuko Jukwa la JF doctor na sio kule!.
Sasa Pasco, kwani after squirting na kupumzika na kujiswafi bado maji yanaendelea kutoka? Kiasi cha kulala na kitaulo?
Mtoa mada, hayo.majimaji yakoje rangi yake? Yana harufu mbaya? Rangi? Jaribu kulala na kitaulo cheupe uone kama kitakuwa na tangi yoyote. Imekuanza lini, na je inatokea kila mara?
King'asti, my use ya taulo is during action only!, the "squirting" fluid is clear na haina smell!, ingekuwa ni urine, ingesmell!, kwa fomulation yangu, wanawake wanao squit, the fluid is made by a different gland na kuwa poured kwenye blader, hivyo ikitoka, inatoka kwa wing na kwa fujo as if mtu ana urinate na asiejua atadhania binti kajikolea!.Sasa Pasco, kwani after squirting na kupumzika na kujiswafi bado maji yanaendelea kutoka? Kiasi cha kulala na kitaulo?
Are you a squirt(er)?
King'asti, my use ya taulo is during action only!, the "squirting" fluid is clear na haina smell!, ingekuwa ni urine, ingesmell!, kwa fomulation yangu, wanawake wanao squit, the fluid is made by a different gland na kuwa poured kwenye blader, hivyo ikitoka, inatoka kwa wing na kwa fujo as if mtu ana urinate na asiejua atadhania binti kajikolea!.
Nakubaliana na wewe, maelezo yake ya awali, yana suggest squirting ila hiyo continuous flow after the action nadhani ni something else!. Ila sio siri, hii taarifa ya mixed with little urine, itaniletea inhibition vs joy ya hiyo kitu!. Sisi waandishi sometimes we are too inquisitive, baada ya kuidhania ni urine, nikaismell na kujiridhisha its not urine, uchunguzi zaidi kupitia teste buds ukathibitisha ina some salinity!, nikajplease kwa sababu hata teas ina salinity, sweat ina salinity, saliva ina salinity, lubricants ina salinity ndio maana hata sisi wazamaji, kunaitwa "chumvini" hivyo nikajiplease kuwa its normal salinity!, kumbe ile salinity ni urine!. Du..!.Nimekuelewa kaka. My question was, huyu domy huenda ana issue tofauti na squirting. Manake baada ya squirting the bladder resumes its full control and there is no need ya yeye kulala na kitaulo in there. Coz indeed the fluid comes from the bladder and it is mixed with a little urine (the smell of sex or should i say aroma is stronger ndo maana harufu ya kamkojo haisikiki. Bladder is never empty, sphincter muscles ndo zinazuia continuous flow).
Concern yangu ni kuwa mtoa mada analazimika kulala na kitaulo, which looks like abnormal unless otherwise explained.
Pole bibie Domy nina swali ninataka kukuliza Je unatumia dawa za kuzuia mimba?( za uzazi wa mpango)kama ndio unatumia Dawa za kuzuia mimba ndio zinaweza kuwa ndio zimebadilisha System yako! Nenda kamuone Daktari akupime na kukupa dawa.
Ushauri wangu kila unapomaliza kufanya mapenzi nenda kaoshe sehemu zako za siri, au kama upo nyumbani kwako jaribu kuosha uke wako maji ya ndimu au maji ya limau yanasaidia kukasha uke wako kutokwa na maji mengi. Jaribu kisha uje hapa utoe feedback.
Domy swali lako ni genuine, niliwahi kuliuliza hivi
kwenye uzi huu Anatomical Question on Squirting: Why Only Some and Why So Much ...sikupata majibu yoyote!,
nikaenda google na haya ndiyo majibu yako.
[h=3]Female ejaculation vs. squirting/gushing[/h]Some aspects of the research community distinguish between female ejaculation and what is colloquially known as squirting/gushing.[SUP][2][/SUP] These terms are used by the public interchangeably and lead to much confusion. In these research publications, it is suggested that "real" female ejaculation and the "squirting or gushing" shown frequently in pornography are two different phenomena; the real female ejaculation is the release of a very scanty, thick, and whitish fluid from the female prostate and is described as such in many publications.[SUP][2][/SUP][SUP][45][/SUP] Squirting/gushing is the expulsion of clear and abundant fluid that is ejected in gushes (squirting), which has been shown to be a diluted fluid from the urinary bladder.[SUP][2][/SUP] It is suggested that much of the obscurity and the uncertainties about female ejaculation go back to mixing up these two phenomena.
Source: Female ejaculation - Wikipedia, the free encyclopedia
Afya yako iko poa kweli mkuu??hayo ni maumbile yake. kuna wanawake wengi nilishawahi kukutana nao wanatoa utelezi kama mweupe fulani ivi ni mzuri na una harufu nzuri. pia nilishawahi kukutana na wengine, ule utelezi mweupe haupo, ila kunatoka maji mengi yaani hadi godoro linalowa, na si maji ya squirt, ni maji tu ya nyege, hasa wahaya na hao wanawake wengi wanene wanene hao. wembamba mara nyingi wanatoa mauteute mazuri tu rangi nyeupe na yanalainisha vizuri sana. hivyo nafikiri hilo litakuwa maumbile yake tu, sio tatizo.
bukoba kwenye guest magodoro yamevalichwa mfuko maalumu wa kuzuia maji hivi ni maji kutoka ukeni au ni mkojo??? maana wanasema mwanamke huwa anatoka maji mengi sana wakati wa tendo la ndoa...kwa staili hiyo hilo sio tatizo