Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,087
- Thread starter
- #21
Ebwanaeee!! Nimetoka siku chache maeneo ya huko kwenye kuganga njaa. Mwanzoni nilijua ni stori kumbe kweli aisee godoro imevalishwa gwanda la maana tu ka sofa la keko..
View attachment 71852 View attachment 71858
Sharti namba 12 lilinistua kidogo, nilijua yanabandikwa kwenye gesti za mikoa ya pwani tu..
View attachment 71855 View attachment 71856
hiyo sasa imezidi tofauti na hiyo ninayoongelea mimi,hao wa huko watakuwa ni vikojozi...