Mwanamke kutokwa maji mengi ukeni hasa baada ya tendo nini tatizo?

Mm sio Dr illa najua kuna gland bla ya Uteras ambayo humwaga hivyo vilainishi ila km ni maji dalili ya mkojo ni nzuri na ni wachache hufikia hali hiyo zaidi ni kwa **terero
Ingia kukwaa lingine hapa DR
hahahahahahahahahahahahaha!!!!
 
Topic imebamba kiaina ila wachangia mada walio wengi wanaonekana ni wataalamu sana wa hiyo kitu! Thanks kwa kutoa darasa la maana! ila swali langu ni kuwa iwapo mkojo unakaa kwenye blader vp hiyo kitu isiyo na harufu huwa inatoka wapi maana kwa wengine ukifanikiwa kukinga na kikombe cha chai kinajaa! naombeni jibu basi wakubwa zaidi!!
 
huo ni uzembe wa dawasco wameshau kufunga valve za maji au mambomba yao yana-leak.Kwa jisi walivyowazembe,nahisi itachukua muda mrefu sana kwa wao kuja kufunga hayo mabomba.Vinginevyo,awe anakinga hayo maji na kuwauzia wakazi wa maeneo yenye shida ya maji,ni njia mojawapo ya kujiongezea kipato,ila asisahau kulipa kodi.
 
Ntakuja baadae ngoja kwanza nikacheck mechi ya Chelsea na Man city ya Baloteli
 

Watu wanajadili binadamu, wewe unaleta habari zipi tena.Hauwezi kuwa hauko bar na Konyagi pembeni
 

Hivi kati ya squirting na femal ejaculation , ipi inaambatana na utamuu?
 
nafikiri ni vema ieleweke kuwa kuna wanawake wa aina mbili ukiachana na maswala ya ukubwa au udogo wa UKE.
type 1 ni wale wakavu sana>yaani unapofanya naye tendo ni sawa na kula Parachichi la Mbeya. mnato wa hatari.
type 2 ni wale wenye majimaji (watery)> hawa mara nyingi mnalazimika kuwa na kitamba kwa ajili ya kukausha wakati tendo la ndoa linaendelea (kulazimika kukatiza tendo na kumfuta),yote haya siyo magonjwa ni hali ya kawaida kabisa unless huo ute uwe unatoa arufu mbaya.
hili la kuendelea kutoka maji/ute pengine ni hali ya kawaida, inawezekana mwanaume naye akaachia Shahawa nyingi hasa baada ya bao la kwanza. la msingi ni kuzingatia usafi, kila baada ya tendo akajisafishe (kujiflush) vizuri na kujikausha! sema inakuwa kero kama anayo KUMANINA!


 

Nafikiri kinacho ongelewa hapa sio ule wingi wa SPERMS wala ule UTEUTE wakati wa kujamiiana. Hoja kuu ni haya maji kibao yanayotoka kwa wingi ukeni wakati au baada ya kujamiiana .
 
Mmmm pole sana kila siku kubadilisha shukaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…