Umeniita? Labeka!
Hehehe... mi sijashindwa kutongoza bana. Nshatongoza siku nyingi niliyepaswa kumtongoza. Na ameshatongozeka na akakubali kutongozeka. Yupo kajikalia nyumbani, nikitaka nagusa bega tu.
Umechanganyikiwa....!
Kuwa old unamaanisha age ipi?Ukiwa old bado watongozwa tongozwa... Definately something is seriously wrong.... Thou kutongozwa once in a while ipo.... Don't you think mfano Bishanga wetu apate bahati ya kua karibu na Graca Michelle wa Madiba atataka arushe bahati yake? lol
AshaDii
Kwanza ngoja nikupe mfano mmoja ..Hapa kazini alikuja dada mmoja Kama Senior Manager baadhi sifa zake
1.Kwanza alikuwa mzuri sana..hata mie na-appreciate uumbaji wa mungu niliona kama sifa zote anazo
2.Pili kaenda vidato vya kutosha...
3.Masafa yake yeye leo utasikia kenda kikazi Uk,Kesho Brazil ,kesho kutwa SA..mtondogoo...Nk Nk
4.Pia kwa pesa anayo ya uhakika na ameshajijenga sana .
5.Umri nadhani alikuwa 33-36 yrs alikuwa serious sana.
Akina kaka walikuwa wanaogopa kumu- approach ..ingawa sisi kama wanawake kulikuwa na muda mnakaa nae mnajadili mambo ya kike ...Kwa mtizamo pamoja na kila kitu kuwa nacho
alikuwa so lonely ,very busy ,muda wa kujichanganya na watu mdogo..na alijua kabisa vijana wanamuogopa..
Na mpaka sasa bado yuko single.....
Je hivi hapa hawezi kutumia ile formula ya kama kampenda mtu inabidi aseme yeye badala ya kusubiri kusemeshwa?:wink2:
Shem kuendeleza mila hakuna cha kutongozana bana... Si unajua kutongozana kuna uhusiano na vijiaibu na kung'ata ukucha au unyasi?Ndio nimekuita shem.... Hebu msome huyu hapa chini..... lol
BTW Hapo unajifariji?? Ule msimamo wako wa Kuendeleza utamaduni uko wapi? Au ndio ile ya Sungura hazifai hizi ni mbichi? lol
AshaDii
Kwanza ngoja nikupe mfano mmoja ..Hapa kazini alikuja dada mmoja Kama Senior Manager baadhi sifa zake
1.Kwanza alikuwa mzuri sana..hata mie na-appreciate uumbaji wa mungu niliona kama sifa zote anazo
2.Pili kaenda vidato vya kutosha...
3.Masafa yake yeye leo utasikia kenda kikazi Uk,Kesho Brazil ,kesho kutwa SA..mtondogoo...Nk Nk
4.Pia kwa pesa anayo ya uhakika na ameshajijenga sana .
5.Umri nadhani alikuwa 33-36 yrs alikuwa serious sana.
Akina kaka walikuwa wanaogopa kumu- approach ..ingawa sisi kama wanawake kulikuwa na muda mnakaa nae mnajadili mambo ya kike ...Kwa mtizamo pamoja na kila kitu kuwa nacho
alikuwa so lonely ,very busy ,muda wa kujichanganya na watu mdogo..na alijua kabisa vijana wanamuogopa..
Na mpaka sasa bado yuko single.....
Je hivi hapa hawezi kutumia ile formula ya kama kampenda mtu inabidi aseme yeye badala ya kusubiri kusemeshwa?:wink2:
Kuwa old unamaanisha age ipi?
ulkiwa na mentality ya si kila mtu lazima aolewe haitamsumbua sana.
Kila mtu anakuja kwa purpose yake, labda kuolewa haikuwa yake.
Huwezi ukapata kila kitu duniani, ndo maana wengine wana ndoa hawana watoto.
Kama anaweza agonge kopi na mtu maisha yanasonga.
Duh Ashadii,you are genius.Lakini wengine huwa wanapenda adventures kwenye kutongoza,especially vijana wa siku hizi wanaopenda dezo ya kulelewa kwa hiyo vigezo hapo juu hawataviangalia.But all in all you are right.
Tatizo ni kuwa siku hizi wanaume hawatongozi...! Maendeleo ya Sayansi na Tech. yameondosha dhana ya kutongozana...! Kwahiyo nadhani kuna utaratibu mwingine ambao umechukua nafasi ya kutongonzana...!
Kwa mfano nikikupa "Like" hapa JF inawezekana naelekea kukutongoza ki-cyber...!
Wala rejao wangu hana noma sisy,anajua wataishia kutongoza tu ila hawana access ya utukufu coz password za huko azimiliki yeye tu lol!Hakikisha you come back! lol
Cantalisia hii post akisoma Rejao naona itamtia tu HASIRA....lol.... Ataona kumbe ile pete mkononi bado tu watongozwa? hahaha.... Kuna wanawake hawatongozwi mdogo wangu hadi inampa homa... believe me!
Sasa hao ambao wanajitongozesha hadi kwa mwanaume yuko na ubavu wake hapo hapo ina maana kua ndio wale hawana soni kabisa, lazima watakua wanatongozwa for ndio wale ambao wamejirahisisha; na hakuna ambacho wanaume hupenda kama mwanamke alojirahisisha....
Babu kuna mtu kanitongoza nilipokua napanda ngazi kuingia ofisini!!Mtu yeyote atakayekutongoza, ni PM. Ntakupa ile bakora yangu ukamcharaze.
Kutongozwa sunna, (Source: ADI)
Shem kuendeleza mila hakuna cha kutongozana bana... Si unajua kutongozana kuna uhusiano na vijiaibu na kung'ata ukucha au unyasi?
Hii ya kudumisha mila inakuwa kama ifuatavyo:
ODM: Vipi Fatu, leo uko free.
Fatu: Hapana labda kesho (Hapo usisahau sijashusha tongozo)
ODM: Saa ngapi
Fatu: Mida ya jioni ukitoka job
ODM: Poa basi ntakupigia
Fatu: Sawa lakini safari hii tusiende Mwarubaini, ile gesti vitanda vinapiga kelele sana (Kumbuka sijawahi enda naye hapo, na wala huna sababu ya kumuuliza ulijuaje)
ODM: Poa tutaenda Lexus, pale pasafi sana
Fatu: Poa, usichelewe (naye haulizi nilijuaje wakati sijaenda naye pale) Afu ukaninywee tena viroba vyako unikomoe kama siku ile.
Done!
Kuna kutongoza hapo? Mila haijadumishwa?
I am humbled of your acknowledgement Kikungu.... Thank U.
Vijana wa siku hizi wamerahisishiwa sana kutongoza, wanatongozana kupitia Face book, Twitter na what ever Internet related entity, Huko una copy na kupaste tu mistari! lol....
... Kwa sisi wanawake ambao tuko 50... Do you find us attractive?
AshaDii
Kwanza ngoja nikupe mfano mmoja ..Hapa kazini alikuja dada mmoja Kama Senior Manager baadhi sifa zake
1.Kwanza alikuwa mzuri sana..hata mie na-appreciate uumbaji wa mungu niliona kama sifa zote anazo
2.Pili kaenda vidato vya kutosha...
3.Masafa yake yeye leo utasikia kenda kikazi Uk,Kesho Brazil ,kesho kutwa SA..mtondogoo...Nk Nk
4.Pia kwa pesa anayo ya uhakika na ameshajijenga sana .
5.Umri nadhani alikuwa 33-36 yrs alikuwa serious sana.
Akina kaka walikuwa wanaogopa kumu- approach ..ingawa sisi kama wanawake kulikuwa na muda mnakaa nae mnajadili mambo ya kike ...Kwa mtizamo pamoja na kila kitu kuwa nacho
alikuwa so lonely ,very busy ,muda wa kujichanganya na watu mdogo..na alijua kabisa vijana wanamuogopa..
Na mpaka sasa bado yuko single.....
Je hivi hapa hawezi kutumia ile formula ya kama kampenda mtu inabidi aseme yeye badala ya kusubiri kusemeshwa?:wink2:
Kongosho maisha yanasonga but it is not the same.... Hio mentality ya kusema Kuolewa ama Kuoa sio lazima it is a good one and applicable to many, ila nikizungumza kwa kuongelea jamii yetu naona kama the disadvantage ni kubwa kuliko advantage yake.... Hata hivo waweza kuta such a lady tatizo halipo tu kwa kupata wa kuoana nae... bali hata mtu wa kudate nae ni tatizo...
Mimi naamini kua everybody needs one to lean on once in a while....
Wala rejao wangu hana noma sisy,anajua wataishia kutongoza tu ila hawana access ya utukufu coz password za huko azimiliki yeye tu lol!
Ila sasa kupitia hii jiuzi lako la ukweli nimegundua kumbe kutongozwa kwa mawanamke kunamfanya ajione kumbe jinsia tofauti inamtambua na kumkubali in some ways!