Hapo red ni kweli kabisa.
Lakini in case hajapata mwenza kabisa, maisha yasimame?
Kuna kuishi kwa jinsi unavyotamani iwe na kuishi kulingana na hali halisi.
Kama wa kumuoa hajatokea, maisha lazima yendelee
Nimeona dada mmoja kidogo arukwe na akili kwa kushindwas kuuishi ukweli kwamba yuko single na hana mtu wa kudate naye.
Hii ilimfanya akaparamia kijana wa mjini wa kwanza, baada ya yule kijana kuona yuko desparate akamtumia kwa shida zake, afu siku moja akamwambia wiki ijayo 'naoa'
Baada ya hapo kapata mwingine wa mjini, akamchanganya na watu kama 4, afu akamtema.
Sasa huyo dada sasa hivi ukilutana naye hadi unamkimbia, kawa kama wale maprofesa wa zamani wakisoma wanakuwa na maneno meeeeeengi hadi hujui yanatoka wapi.
Ilibidi aende kuombewa Nigeria lakini haijasaidia sana
Nie huwa namshauri, akubaliane na hali halisi kwamba jua limekuchwa na hajaolewa, afu kuanzia hapo aanze kuishi maisha yake kwa kufurahia.
Sioni haja ya kusononeka sana eti kisa hatongozwi, ikibidi atafute mmoja aseme naye.
Kongosho maisha yanasonga but it is not the same.... Hio mentality ya kusema Kuolewa ama Kuoa sio lazima it is a good one and applicable to many, ila nikizungumza kwa kuongelea jamii yetu naona kama the disadvantage ni kubwa kuliko advantage yake.... Hata hivo waweza kuta such a lady tatizo halipo tu kwa kupata wa kuoana nae... bali hata mtu wa kudate nae ni tatizo...
Mimi naamini kua everybody needs one to lean on once in a while....