Habari wanaJF, kwa wajuzi wa mambo ntaka kufahamu kitu katika hili kama ilivo kwa title hapo juu. Yaam mke alitumia soap kujpaka maeneo yake ya siri then dakika chache akaingia kwenye tendo na mpenz wake. Maanake nini kwa kitendo hichi.
Wadada wa siku hizi huko kwenye magroup yao ya whatsap wanaelekezana vitu vya ajabu sana na ukizingatia wengi ni illiterate ko wao wanachukua kama walivyosoma
Kiufupi wanafanya vitu vya kuhatarisha afya zao bila kujua,maybe muulize hiyo sabuni ni kwa ajili ya kazi gani