Mwanamke kuumwa na tumbo nikitoka kujamiana nae

Mwanamke kuumwa na tumbo nikitoka kujamiana nae

Leoleo nimetoka hospitali baada ya niliyekuwa naye last weekend kukutwa na UTI jana hospitali moja kubwa. Kama angeenda hospitali za vichochoroni ningepuuzia maana kule unapeleka hata maji unaambiwa yana UTI.

Alianza kuumwa siku ileile nikapuuza, UTI gani unapata maumivu siku hiyohiyo. Ila nikakumbuka kuna mwingine aliwahi lalamika UTI kali alafu wote vibonge. Mabonge huwa yana maumbile mafupi na yanaumia haraka ukiligeuzageuza styles. Nahisi ninakaa na UTI muda bila kugundua, itabidi nitafute dawa za asili kukata tatizo hili maana nikiwa nayo sioni dalili.
 
Abnomal load
Kwani shahawa zinaweza sababisha mtu kuumwa tumbo mana mtu wa pili huyu wa kwanza nimempoteza mala ya kwanza kufanya nae alivumilia anadai ila mala ya pili siku nyengine kuludi tumbo lilimuuma sana na mapenzi yakafa uyu wa pili sitaki kumpoteza
 
Au una dude la kijeshi
 
UNA MAGONJWA MTAMBUKA UTI SUGU, KIDEBE, CHOLICHOLI NA MKANGAFU. MOJA YA HAYO MAGONJWA HUSABABISHA TATIZO HILO.
 
Attachments

  • 93230F20-916D-4420-964B-788DFAE8C33D.jpeg
    93230F20-916D-4420-964B-788DFAE8C33D.jpeg
    14.7 KB · Views: 3
Mwanamke wa kwanza aliniambia nikaona kama ananitania ila wa pili sasa ananiambia hivyo hivyo nataka nikapime nijue Nina nini sasa nashindwa kujua namwambia nini doctor nijue tatizo langu
Nenda nao ili wote mchunguzwe
 
Back
Top Bottom