Leoleo nimetoka hospitali baada ya niliyekuwa naye last weekend kukutwa na UTI jana hospitali moja kubwa. Kama angeenda hospitali za vichochoroni ningepuuzia maana kule unapeleka hata maji unaambiwa yana UTI.
Alianza kuumwa siku ileile nikapuuza, UTI gani unapata maumivu siku hiyohiyo. Ila nikakumbuka kuna mwingine aliwahi lalamika UTI kali alafu wote vibonge. Mabonge huwa yana maumbile mafupi na yanaumia haraka ukiligeuzageuza styles. Nahisi ninakaa na UTI muda bila kugundua, itabidi nitafute dawa za asili kukata tatizo hili maana nikiwa nayo sioni dalili.