Mwanamke kuvaa chupi nyeusi mnakera

Inadipend huyo wakwako anarangi gani... Mm wakwangu mweupe sana sasa akivaa nyeusi anapendeza sana... Lakini kama wakwako mweusi kama mkaa nushida.
 
Inakuwaje una appointment na mjamaa wako alafu unavalia chupi nyeusi tiii hamjui mnakera jamani.hata taiti nyeusi zote ni kerooo!!!
Usikute unazokataa kanunuliwa na wenzio wanaopenda hiyo rangi mkuu.

Muoe then umununulie unazotaka avae.
 
Sasa inakukera vipi au ndo ubaguzi wa rangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…