Mwanamke kuvaa chupi nyeusi mnakera

Kwa hiyo ulishindwa kugegeda kwa sababu alivaa picchu nyeusi?

Inakuwaje una appointment na mjamaa wako alafu unavalia chupi nyeusi tiii hamjui mnakera jamani.hata taiti nyeusi zote ni kerooo!!!
 
Chupi nyeusi na nyeupe ndo zenyewe kwa mtoto wa kike labda kwetu sie wanaume ambao tuna misuri na mapaja yetu yamekomaa lakini kwa mtoto wa kike ambae sehemu zake za ndani huwa zina nuru kiasi kwamba rangi nyeusi huonekana vyema kabisa...kama hupendi nyeusi avae rangi ya UGORO basi
 
A black object absorbs all wavelengths of light and converts them into heat, so the object gets warm.
A white object reflects all wavelengths of light, so the light is not converted into heat and the temperature of the object does not increase noticeably.

Kama hujui maana sikwambii maana!!
 
Ukiwa na ratiba ya kuamka alfajiri sana na kuchapa kazi na ku make money na kujikuta una lala sa tamo hadi sita usiku kila siku
Hutakaa kiwaza rangi ya pichu hata siku moja
Maisha yamebadilika sana wandungu
 
Hivi kabisa manzi uliyehangaika kupiga swaga za kutosha akuelewe siku hiyo unangoja chupi ikuamshe mzuka haki a nani hauko serious siku hiyo hadi vipush up huwa napiga piga na vimiluzi vya hapa na pale na kakitambaa ka kumfuta na kanunua asubuhi miksa na vi big g hiyo siku usipokuwa makini kama umeoa unaweza kumuaga mkeo kuwa unaenda kupiga game
 
Inakuwaje una appointment na mjamaa wako alafu unavalia chupi nyeusi tiii hamjui mnakera jamani.hata taiti nyeusi zote ni kerooo!!!
Kwani we shida yako papuchi au nini??Dah! Au chupi jeusi linareflect papuchi[emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Wanao penda chupi nyeusi wte wachafu tyuu,ha ha ha nimtazamo tu?
 
Sisi kwetu tukifiwa wanawake ndo huvaa chupi nyeupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…