jambo Tanzania
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 377
- 281
- Thread starter
- #81
Kaka/dada chupi ni sapraiz kwa mwanaume akiwa anaanza kuvua si unajua ukitupia jicho mwili unasisimka vibaya!!. Sasa ndo umekuta katupia cheusi duh hamu yote inaishia hapoUngemwambia mapema tu mkuu. Hata kwa sms "Baby mwanamke akivaa chupi nyeusi huwa mzuka unapotea kabisa!" Angejiongeza!!