Mmh hiyo fedheha sio ya nchi hii 😀Mpasulie yai nyuma siku moja uone kama atakaribia eneo lakoo mpwa balaa sisi mtana ukilewa wanapasua yao wanamwaga ndani kabisa wanakuacha karibu na kwako mkeo ama hawara akubebe asbh yake wewee balaa
Ahaa, kumbe!! 😃😃waganda mkojo wa mwanamke alielewa zinga la tambiko la utajiri shehe ndio maana matajiri wengi wakinywa na mademuzao wakiona wameanza kukojoa ovyo wanapeleka lodge wanakuwa na combo kabisa demu anakojoaa watu wanagonga wanacha hela wanaondoka na mkojo
usiniulize zaid kinachoendelea
Ni aibu sanaNi mambo ya ajabu, mtu kama huyo utakuta kaacha watoto wadogo nyumbani, inakera sana
Huu ulevi kupindukia ulenge kwenye vitu vyote sio pombe tu, hata ulokole kupindukia ni ulevi wa hatari mnoKwahiyo kutia aibu familia ni jambo linalokubalika akifanya mwanaume?
au haya uliyoyaandika yanamaanisha nini?
Binafsi naamini ulevi uliopindukia ni jambo la hovyo, hasa likifanywa na wazazi au wanandoa bila kujali jinsia.
😂😂😂Nife tu maskiniZinga la dili aliyah nashangaa hukuu mnauachiaaa. Pwaaaaaa mnamwaga helaaa
Ulevi wa chochote kupindukia ni aibu, sio pombe tuNi aibu sana
Usitukumbushe kiboko ya wachawi shehe tunaombaHuu ulevi kupindukia ulenge kwenye vitu vyote sio pombe tu, hata ulokole kupindukia ni ulevi wa hatari mno
Hatajua sasaHII N SIRI YENU TU KAMA UNA NDUGU SIO LAZIMA AWE MLEVI ILA ANAPENDA KUTUMIA HELA OVYO KWENYE POMBE
CHUKUA FIRIGUSI 3 ZA KUKU TOA.LILE GAMBA PEMBENI WEKA JIKONI KWENYE FRAMPEN BILA CHOCHOTE LIUNGUEE KABISAAA KABISAA
KWANGUA ULE UNGA WAKEE BEST MCHANGANYIKIE MWENDAZAKE KIDOGO KWENYE BIA
NJOO NIPE TESTIMONY
Kilakitu kiwe na kiasiUlevi wa chochote kupindukia ni aibu, sio pombe tu
Sasa walikua wanaofuata yule mbwiga ndio chenga kabisaUitukumbushe kiboko ya wachjawi shehe tunaomba
Kiasi hakina kipimo maalumu hasa kwenye ulevi wa pombe , mimi ukinywa kiasi yangu unalala mtaroniKilakitu kiwe na kiasi
Huu ulevi kupindukia ulenge kwenye vitu vyote sio pombe tu, hata ulokole kupindukia ni ulevi wa hatari mno
😂😂😂Mm naomba kuuliza wanaume mnaokunywa sana mnafanyaje sex na wakezenu au wapenz wenu namaanisha kiss au romance ila harufu huwa haiwakeri kweli?Kiasi hakina kipimo maalumu hasa kwenye ulevi wa pombe , mimi ukinywa kiasi yangu unalala mtaroni
Mwanamke Paige ka wine au4, sex on the beach, wild africa, Four Cousins au amarula alfu mna vibe flani sehemu tulivu.. hivi alafu kidume anapiga zake Safari Lager full burudizo .. mkitoka hapo mnaenda nyanduanaa kwenye maji jakuziKwahiyo kutia aibu familia ni jambo linalokubalika akifanya mwanaume?
au haya uliyoyaandika yanamaanisha nini?
Binafsi naamini ulevi uliopindukia ni jambo la hovyo, hasa likifanywa na wazazi au wanandoa bila kujali jinsia.
Ila hata wanaume pombe haziwapendezi wanywe tu kiasiMwanamke akiwa mlevi hasa wa pombe kali, makonda watamparamia kwenye daladala au zile basi za usiku.
Hili swali waulizwe wanawake wanywa vyoda kwa sababu kila siku wanatuvizia watupate , na huku sisi tunawataka walevi wenzetu😂😂😂Mm naomba kuuliza wanaume mnaokunywa sana mnafanyaje sex na wakezenu au wapenz wenu namaanisha kiss au romance ila harufu huwa haiwakeri kweli?
Wanawake ndio zaidi😀Mimi nilijuaga wanaume tu ndo wakilewa wanajikojolea 😀
Una akili nyingi sana weweMwanamke Paige ka wine au4, sex on the beach, wild africa, Four Cousins au amarula alfu mna vibe flani sehemu tulivu.. hivi alafu kidume anapiga zake Safari Lager full burudizo .. mkitoka hapo mnaenda nyanduanaa kwenye maji jakuzi