Toka hapa uongo tu tunawivia huwa mnatoa hela mkilewa 😂ila hata hatuwapendi 😂😂Hili swali waulizwe wanawake wanywa vyoda kwa sababu kila siku wanatuvizia watupate , na huku sisi tunawataka walevi wenzetu
Sasa utatoaje asali mahali ambapo hakuna nyuki? Vumilia harufu ya pombe ule asali weweToka hapa uongo tu tunawivia huwa mnatoa hela mkilewa 😂ila hata hatuwapendi 😂😂
Sio makonda tu, anakuwa jamvi la wanaume wa hovyo.Mwanamke akiwa mlevi hasa wa pombe kali, makonda watamparamia kwenye daladala au zile basi za usiku.
Hata mwanamke akinywa kiasi inapendeza hasa wakati wa maonyesho a.k.a show.Ila hata wanaume pombe haziwapendezi wanywe tu kiasi
Huyo ni mnywa soda alievamia ulevi bila kujua code zakeSio makonda tu, anakuwa jamvi la wanaume wa hovyo.
Binafsi naamini kwenye kiasi, hata kunywa maji kunataka kiasi.Huyo ni mnywa soda alievamia ulevi bila kujua code zake
Ugoro tena!! si wanatumia wazee jombaangalizo ugoro sio wa kuzoea sana na ukitumika kidogo sana sanaa maana una.mawili akazidiwa ama.akaharisha mpaka ajambe mwisho lazima ahisi umrweka kitu
Kiasi lakini lazima ulewe ukinywa pombe, yani kiufupi tunakunywa pombe kulandua kichwa bwasheeBinafsi naamini kwenye kiasi, hata kunywa maji kunataka kiasi.
Nilikunywa hizi mambo sana nilivyokua binti mdogo, siku hizi siyo vitu vyangu.Mwanamke Paige ka wine au4, sex on the beach, wild africa, Four Cousins au amarula alfu mna vibe flani sehemu tulivu.. hivi alafu kidume anapiga zake Safari Lager full burudizo .. mkitoka hapo mnaenda nyanduanaa kwenye maji jakuzi
Neno LAZIMA sio kweli, nasisitiza kwenye kiasi mangi!!Kiasi lakini lazima ulewe ukinywa pombe, yani kiufupi tunakunywa pombe kulandua kichwa bwashee
Hahaha kwanza huu uzi unaleta kiu ya pombe hatariNeno LAZIMA sio kweli, nasisitiza kwenye kiasi mangi!!
Usiombee mkuu wengine wanalala kama mabuha PINDUA GEUZA UNAISHIA KUKO...A IENDEHata mwanamke akinywa kiasi inapendeza hasa wakati wa maonyesho a.k.a show.
Sawa bibi bomba 🤪🤪🤪Nilikunywa hizi mambo sana nilivyokua binti mdogo, siku hizi siyo vitu vyangu.
Athari ya pombe kwenye mwili hasa umri unavyozidi kwenda ni kubwa, sitaki kabisa!
Ila kunyanduana kwenye jacuzzi, tutakulana tu hasa tukiwa sober.
Hata kumgonga mkeo kwenye ndoa inahitajika kiasi sio tu hali yupo we wekaaa wekaa 🙅♀️ 🙅♀️ 🙅♀️Binafsi naamini kwenye kiasi, hata kunywa maji kunataka kiasi.
Hamna kitu nachukia kama mtu ulewe upande daladalaMwanamke akiwa mlevi hasa wa pombe kali, makonda watamparamia kwenye daladala au zile basi za usiku.
Sahihi kabisa, unakuta mtu anataka 24/7 yeye hachoki?Hata kumgonga mkeo kwenye ndoa inahitajika kiasi sio tu hali yupo we wekaaa wekaa 🙅♀️ 🙅♀️ 🙅♀️
Kabisaa kama anatafutaaaa almasiSahihi kabisa, unakuta mtu anataka 24/7 yeye hachoki?
Basi mlapo au mnywapo, au mtendapo nendo lolote fanyeni kwa utukufu wa Mungu. 1Kor.10:31
Temperance is key mkuu!