Mwanamke kuzaliwa Uchagani tu ni form six!


Ni mawazo yake, hata wewe ulichoandika ni mawazo yako! Tunayaheshimu pia

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Degree ya kutangaza wanaume wao hawakidhi haja
 
Waacheni wasichana wetu msije mkawamaliza hatujaoa sisi wengine
Usione chaelea kimeundwa
Niliwahi kusema dume na jike la kichaga tofaut yao kimawazo ni ndogo mno kiufupi wamelelewa kujitegemea japo wataolewa ndio maana hata mume akifa watoto wataendelea kusoma tu bila wasiwasi
 
Msukule wa kichaga katika ubora wako,
Hata mjisafishe namna gani ninyi wachaga mlishalaaniwa.
Poleni sana
Hakuna mwanaume mwenye akili timamu akaoa mchaga sasa labda washamba, na solution ni muoane ninyi wenyewe ili muendelee kuchomana visu na kuuana kwa tamaa ya mali. Kamuulize ufo saro ndio atakwambia mkasa vizur na mushi wake.
Kuna wake bora kama wasukuma, wanyakyusa, wahehe, wahaya n.k ila sio wake majambazi wa kichaga
 
utakuwa unakaugonjwa kamoja kabaya sana, kanakoitwa chaggaphobia nenda katibiwe tu mkuu.
 
Ila ndiyo ujue kuolewa nje ya moshi kuko mashakani hivyo..!
 
thread ya kipumbavu sijaona, sijui wa wapi wewe. watanzania hatuko hivyo hata kidogo
Punguza hasira ni kweli tupu hii na ww si mchaga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hujatoa mifano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…