monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Ewaaaaaaa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mndee
Asante sana mkuu!! Wasambaa wenyeji wa Tanga?Kisambaa mkuu
DuuhMndee
Hahahaa. Kwani kaka na wewe ni wa nyumbani?Kisambaa mkuu
Mbona unaguna bibie?Duuh
Ujue asubiria nione na wewe kilugha chenu mwanamke anaitwaje? [emoji101] [emoji101]Hiki ni kilugha gani?
[emoji23][emoji23][emoji23] anaitwa MNANSO(huyu ni binti lkn)Ujue asubiria nione na wewe kilugha chenu mwanamke anaitwaje? [emoji101] [emoji101]
Ndiyo DadaHahahaa. Kwani kaka na wewe ni wa nyumbani?
Hahahaa. Hakuna kitu Mkuu.Mbona unaguna bibie?
Ooh. Sawa Mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23] anaitwa MNANSO(huyu ni binti lkn)
HeeeHahahaa. Hakuna kitu Mkuu.
Nimejikuta nakumbuka Mashewa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha mkuu tutafutane bna December, Nimewahi fika kwatonge, Magoma, Ziwa kumba na mashewa apoHahahaa. Hakuna kitu Mkuu.
Nimejikuta nakumbuka Mashewa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiki ni kinyiramba!!!Ooh. Sawa Mkuu.
Maa shaa AllahNimefurahi kukufahamu basi utujue ndugu zako.
Kuna Hajar, Shunie, ukhuty, Mzigua90 beingsingle wote Tanga moja sieee.
Hahahaaa. Usijali Mkuu tuombe uzima.Hahaha mkuu tutafutane bna December, Nimewahi fika kwatonge, Magoma, Ziwa kumba na mashewa apo
Wenyewe wanajua kwamba umeiba lugha yao lakini? [emoji12] [emoji12]Hiki ni kinyiramba!!!
Na hao wote uliwataja naona wako juu sanaMaa shaa Allah