Mwanamke kwa kilugha chenu anaitwaje?

Mwanamke kwa kilugha chenu anaitwaje?

Nitakua mtu wa ajabu sana kukataa hii offer kwakweli😛😛😛

Niambiwe tu hili darasa litakua mahala gani haswa nami nitakuja nikiwa mwanafunzi mtiifu afuatae amri zako
Hahaaa. Umeonaeee.

Usijali naja nikupe muongozo.

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom