Mwanamke lifestyle yako ndio itaamua ndoa yako

Si ajabu wewe ni katika waliokosea na sasa unaamua kuwapeleka chaka wenzako!

Mleta mada ametanabahisha tu, atakaetaka ajifunze asietaka apuuzie hakuna haja ya makasiriko.
Nimekosea nini? Changia hoja mezani acha kutaka kumjua mtu, ukweli ndio huo Ndoa sio mafanikio ya Mwanamke, somesheni watoto wenu kisha watoeni wakaione Dunia baadae huko watakuja kuolewa
 
DQ unawadanganya wenzio. Utachomwa kama mishkaki kwa kuwapotosha wenzio.....
Nawapotosha kwenye nini tena, kua ni lazima kila Mwanamke aolewe akiwa 20s? Big No kila mmoja ana haki ya kufurahia maisha yake kwa uhuru, hili tatizo lipo kwa Watanzania wengi, wanachojua ni mtoto wa kike akishabalehe akaolewe basi, fungueni macho
 
Wanaume wanaooa kisa maadili siku hizi hawapo.

Ingekuwa hivyo mtu kama Elizabeth Michael asingeolewa,Zaiylisa, Dida, Irene Uwoya, nk
 
Wanaolewa Wale Ambao Wapo Kwenye Wakati Wao Wengine Waliojichetua Wanabaki Kutupa Malalamiko Umri Umesoga. Na Kusema Ndoa Ni Bahati Wakati Hakuna Bahati Bali Kila Kitu Utokea Kwa Preparation.
 
Wanaolewa Wale Ambao Wapo Kwenye Wakati Wao Wengine Waliojichetua Wanabaki Kutupa Malalamiko Umri Umesoga. Na Kusema Ndoa Ni Bahati Wakati Hakuna Bahati Bali Kila Kitu Utokea Kwa Preparation.
Wote mpo sahihi

'usasa' sio mbaya moja kwa moja, umalaya ndo mbaya
 
Kweli kabisaa.
 
Tafsiri yake ni kwamba sisi tuao waoa nyie wanawake ndio tunajua kwanini hatuwaoi.
Hapo juu mdau amewarahisishia nyie wanawake ili mzitambue sababu zinazo pelekea mnakosa kuolewa.
Sasa mmeamua kutowaoa na sababu mnazijua wenyewee si mtulizane hivyo hivyo? Tumechoka na kelele zenu.

Nyie ndo mnahitaji ndoa kuliko hao wanawake, ndo maana kutwa mnalalama, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…