Mwanamke lifestyle yako ndio itaamua ndoa yako

Mwanamke lifestyle yako ndio itaamua ndoa yako

Mnasaidiwa kuongea napo hamtaki
Mimi naona tuwaache wapambane na hali zao. Ikifika wakati, Unayemsadia hataki kusaidiwa, unafanyaje sasa. Jibu ni moja tu. Achana naye apambane na hali yake, wewe tembea kifua mbele kwa kuwa ulikuwa tayari kusaidia, lakini mhusika hakuwa tayari kusaidiwa.
 
Tuwaambie dada watatfute hela ndoa zipo kibao na hivi vijana wamekia wavivu ndiyo kabisaa
 
Back
Top Bottom