Mb mabwa nasikia alileta njaa zake akala za mbavu licha ya kumwimbia nyimbo kibaoTanzania kuna wanawake warembo wengi sana ila kila nikipepesa macho akili inarudi kwa huyu mrembo
Mzuri Kiakili na Kimwili NANCY SUMARI
wadau kama mna mawazo tofauti tupieni picha kupinga hili
View attachment 471369
Kwanini tuna kufa ?..ukipata hilo jibu nistue naenda kabulini.maana ndo mrembo kupita wote.Tanzania kuna wanawake warembo wengi sana ila kila nikipepesa macho akili inarudi kwa huyu mrembo
Mzuri Kiakili na Kimwili NANCY SUMARI
wadau kama mna mawazo tofauti tupieni picha kupinga hili
View attachment 471369
Sawa but mkeo sio maarufu huu Uzi unazungumzia wanawakke mastufu tzHamjawahi kumuona mke wangu ndo maana mnadanganyana
duh umeonaeeeee?Ohoooo!!!Una hatari sana mkuu.
Ni kweli mkuu atujawai kumuona. Tupia kapicha tumuoneHamjawahi kumuona mke wangu ndo maana mnadanganyana
Kweli kabisa.kila mtu hutazama mwingine ni mzuri kulingana na macho yake tu.
unajua kama anaweza kuwa na Tikiti maji lililotoka kwenye friza?Aisee wema hata akiwa na Ngoma nakula tena kavu
What a beutyfully woman?
Mkuu si kasema mwnyewe Mke ni mzuliiila kujadili wake za watu si busara
Mkuu,umetisha! Nakubali ila mke wng ni mzuri kuliko wako.Hamjawahi kumuona mke wangu ndo maana mnadanganyana
Mwanamke Chura au sio [emoji196] haahaaalabda niulize wametumia vigezo gani??
alafu mbona picha yenyew tunamuona sura tu!
Mkuu naona unampango wa Kumchoma Kumoyo MB DogTanzania kuna wanawake warembo wengi sana ila kila nikipepesa macho akili inarudi kwa huyu mrembo
Mzuri Kiakili na Kimwili NANCY SUMARI
wadau kama mna mawazo tofauti tupieni picha kupinga hili
View attachment 471369
Hata huyu wa kwangu nae ni maarufu hapa kwangu,nyumba nzima tunamjuaSawa but mkeo sio maarufu huu Uzi unazungumzia wanawakke mastufu tz
Vyovyote boss as long as nitamshikaunajua kama anaweza kuwa na Tikiti maji lililotoka kwenye friza?