Mwanamke maarufu mrembo kuliko wote Tanzania

Mwanamke maarufu mrembo kuliko wote Tanzania

Tanzania kuna wanawake warembo wengi sana ila kila nikipepesa macho akili inarudi kwa huyu mrembo

Mzuri Kiakili na Kimwili NANCY SUMARI

wadau kama mna mawazo tofauti tupieni picha kupinga hili
View attachment 471369
Kwanini tuna kufa ?..ukipata hilo jibu nistue naenda kabulini.maana ndo mrembo kupita wote.
 
labda niulize wametumia vigezo gani??
alafu mbona picha yenyew tunamuona sura tu!
 
Back
Top Bottom