Mwanamke maarufu mrembo kuliko wote Tanzania

Haya Ndo Matatizo Wema Eti Naye Ameingia Kwenye Listi Kwa Uzuri Gani Alionao Yaani Wema Kwa Yule Mtangazaji Wa Tv 1 Jina La Pili Mdee Sijui Wa Tamthilia Ya Ezel Haiingii Hata Ukucha.
 
Hata mi ni noma nawafunika wote hao sema hamnifahamu nk natural haswaa no make up ila ni noma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nasubiri mapovu nifulie ila mi najikubali haswaaa
 
Hata mi ni noma nawafunika wote hao sema hamnifahamu nk natural haswaa no make up ila ni noma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nasubiri mapovu nifulie ila mi najikubali haswaaa
Hahaha subili maandamano pm
 
wema hajawahi kuwa mzuri, ni vile tu tunamuona sana na zile photoshoots mpaka tunahisi mzuri
 
Wema Sepetu is simply Gorgeous sema hajatambua kama ye ni next level,Ila Nancy naye is beautiful in her way...!
Nampenda sana Wema Sepetu hata angekua anasemwaje simwachi ng'ooo. I simply love her as she's simply gorgeous!
 
Aisee wema hata akiwa na Ngoma nakula tena kavu
What a beutyfully woman?
Kwa kweli ni mzuri,mi nwenyewe mwanamke mwenzio naliona hilo..she got that African figure though siku hizi kaiharibu kidogo..she got the poses,she's tall,ana color flani amazing,lips sasa,OMG,Yaani huyo hata nkimfuma na mme wangu namsamehe Mme wangu kiroho safi..maana sauti yake tu,inaweza mkojolesha mtu,Dai mwenyewe anajua ndo maana alisema sauti kama Wema analia...
 
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Mimi nimemeifia wema
Ila wew umeenda extra miles

Narudia tena kufa Kwa UKIMWI ulioupata kwa wema huo ni ushajaa
 
Duh!!!
 
We jamaa lazima utakuwa blonger wa Bongo5.

Unampamba bosi wako ili utetee ugali wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…