kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
slivyia bahame mbona naye mzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha subili maandamano pmHata mi ni noma nawafunika wote hao sema hamnifahamu nk natural haswaa no make up ila ni noma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasubiri mapovu nifulie ila mi najikubali haswaaa
hawa wembamba wembamba hawa itokee tu... Vp yale mambo yetu na Ustaadh Kipoozeo anayo? Sisi wabantu hiyo ni criteria ya kwanza...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha subili maandamano pm
Nampenda sana Wema Sepetu hata angekua anasemwaje simwachi ng'ooo. I simply love her as she's simply gorgeous!Wema Sepetu is simply Gorgeous sema hajatambua kama ye ni next level,Ila Nancy naye is beautiful in her way...!
Kwa kweli ni mzuri,mi nwenyewe mwanamke mwenzio naliona hilo..she got that African figure though siku hizi kaiharibu kidogo..she got the poses,she's tall,ana color flani amazing,lips sasa,OMG,Yaani huyo hata nkimfuma na mme wangu namsamehe Mme wangu kiroho safi..maana sauti yake tu,inaweza mkojolesha mtu,Dai mwenyewe anajua ndo maana alisema sauti kama Wema analia...Aisee wema hata akiwa na Ngoma nakula tena kavu
What a beutyfully woman?
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Kwa kweli ni mzuri,mi nwenyewe mwanamke mwenzio naliona hilo..she got that African figure though siku hizi kaiharibu kidogo..she got the poses,she's tall,ana color flani amazing,lips sasa,OMG,Yaani huyo hata nkimfuma na mme wangu namsamehe Mme wangu kiroho safi..maana sauti yake tu,inaweza mkojolesha mtu,Dai mwenyewe anajua ndo maana alisema sauti kama Wema analia...
Duh!!!Kwa kweli ni mzuri,mi nwenyewe mwanamke mwenzio naliona hilo..she got that African figure though siku hizi kaiharibu kidogo..she got the poses,she's tall,ana color flani amazing,lips sasa,OMG,Yaani huyo hata nkimfuma na mme wangu namsamehe Mme wangu kiroho safi..maana sauti yake tu,inaweza mkojolesha mtu,Dai mwenyewe anajua ndo maana alisema sauti kama Wema analia...
Wema yuko poa ndio maana hakauki midomoni mwa WatanzaniaSamahani mkuu. Sijakulelewa!. Una maanisha nini?
![]()
Mkuu kalio si unalo angalia hilohiloMe uzuri cha kwanza naangalia KALIO ndio mengine yanafata.