Mwanamke mavazi!

Mwanamke mavazi!

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83
Sarafina Mshindo
i906_1188753417sarafinamshindo.jpg

 
teeehtehh..mambo ya optical nutrition haya
 
Mhhhh..
Kivazi hicho kinasema

'mwaka huu lazima nikamate buzi'

maana kila kivazi kina ujumbe wake.
 
very contradicting, hamchelewi kulia ovyo mnadhalilishwa, sasa sijui hapo amekaa hwa hiyari yake au amekalia gundi! natania tuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wewe, uzuri wa mwanamke unazidi jinsi anavyozidi kuwa half naked na kwa mwanaume is the opposite of that (anavyozidi kuongeza nguo mwilini). Hakika Mwenyezi Mungu aliumba. Tunatakiwa kusifia uumbaji lakini tusiende beyond that na kutenda dhambi
 
Aisee...najihisi tayari nipo kortini nahukumiwa kwa kesi ya kubaka.Nikitoka nitaanzisha NGO itaitwa HAKI MAVAZI
 
injinia na sanaa wapi na wapi!
 
jina lake ndo hilo hapo juu sarafina mshindo!
 
Kizuri chajiuza na kibaya hujitembeza. Hata ukivaa marapurapu madhali bidhaa unayo watu watapangia foleni tu. Kwani wakati wa gwaride unaangalia mavazi?

Leka
 
Back
Top Bottom