Mwanamke mavazi!

Mwanamke mavazi!

Usianze. Do you want me to break down your name (Journal Pape) for you?

Being an engineer ( or a professional in any other field) does not necessarily mean you are dead to the world. I have many interests....including playing the clarinet (an instrument I am sure YOU have never heard of let alone seen!!). Start thinking outside the box!

Mtu unaulizwa kwa uzuri unaanza ku hate. Hilo vazi inategemea lilivaliwa katika mazingira/mandhari gani. Kama ni katika fashion show/ talent show tutasema ni zuri, kama ni katika shughuli nyingine maoni yatakuwa tofauti.

Stop being paranoid.

sure do it!

weekend-15.gif
 
Jamani wanawake tunajidhalilisha wenyewe, hivi ni nani alitudanganya kuwa tukivaa nguo inayoacha part kubwa ya mwili ndio tunapendeza??
tubadilike jamani,kuna nguo kibao tu ambazo mwanamke akivaa bila kuacha wazi mwili wake anapendeza jamaniiiii
 
We acha kutubania!
 
Back
Top Bottom