Sarafina Mshindo
Labda anamtafutia soko.Hivi hii picha imewekwa kwa hiari yake au umeamua tu kumdhalilisha. Sioni sababu ya yeye kukaa nusu uchi alafu watu wamtazame maumbile yake, na sijuhi amewekwa hapa kwa sababu gani, labda ili watu wakoment alivyo vaa vibaya, au ndo yuko sokoni.
"CHEMA CHAJIUZA, KIBAYA CHAJITEMBEZA"
Hivi hii picha imewekwa kwa hiari yake au umeamua tu kumdhalilisha. Sioni sababu ya yeye kukaa nusu uchi alafu watu wamtazame maumbile yake, na sijuhi amewekwa hapa kwa sababu gani, labda ili watu wakoment alivyo vaa vibaya, au ndo yuko sokoni.
"CHEMA CHAJIUZA, KIBAYA CHAJITEMBEZA"
wapi bwana!
MWANAMKE KIUNO(makalio majaaliwa)
wapi bwana!
MWANAMKE MAKALIO (Kiuno majaaliwa)
Maumbo ya kihindi yakoje!du na sie wenye maumbo ya Kihindi hahah
Amevaa vibaya gani bana, wacha watu tuoshe macho
Sarafina Mshindo
waambie hao!acheni umero na ushamba mbona hajavaa vibaya huyo mdada? Hivi mmeshatembelea umasaini na kwa wabarbaig au wamangati mkaona wanavyovaa? Hawa mabinti wa kizaramo na wandenge wanapotoka ngomani mmeshawaona? Kama mna roho nyepesi mtabaka,jamani hilo paja kweli ni tamu lakini lisiwatoe imani
injinia na sanaa wapi na wapi!