Mwanamke mavazi!

sure do it!

Jamani wanawake tunajidhalilisha wenyewe, hivi ni nani alitudanganya kuwa tukivaa nguo inayoacha part kubwa ya mwili ndio tunapendeza??
tubadilike jamani,kuna nguo kibao tu ambazo mwanamke akivaa bila kuacha wazi mwili wake anapendeza jamaniiiii
 
We acha kutubania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…