frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,339
- Thread starter
- #21
mmh! ngoja wataalamu walifafanue vizuri
wakuu, mbona nilipata nyepesi nyepesi kwamba endapo utamgegeda mwanamama mwenye mimba unasababisha mtoto anazaliwa akiwa na nywele kama kipara?
zaidi zaidi, hii humuathiri mpaka hata kwenye kukua kwake, yani mtoto mdogo lakini anakuwa na asili ya kipara!
je kuna ukweli wowote juu ya hili?