wakuu, mbona nilipata nyepesi nyepesi kwamba endapo utamgegeda mwanamama mwenye mimba unasababisha mtoto anazaliwa akiwa na nywele kama kipara?
zaidi zaidi, hii humuathiri mpaka hata kwenye kukua kwake, yani mtoto mdogo lakini anakuwa na asili ya kipara!
je kuna ukweli wowote juu ya hili?
Mimi Wangu Tokea Mimba Imetinga hadi Siku anapata Uchungu wa Kujifungua Nilikuwa NAMKANYAGA Tu na Amejifungua Toto Zuri Kweli TENA La Kiume Lina Afya na Halina Tatizo Lolote. Ila Msiige Kwani Wanawake Hawafanani na Wanatofautiana Kwa Mengi sana na Haswa ktk Suala Zima la Kufanya Mapenzi na NILIKUWA NAMKANYAGA KWA SPIDI ILE ILE YA Supersonic Jet bila Kuremba.
Kiafya inashauriwa kukutana na mkeo hata akiwa mjamzito ili kuboresha uimara wa njia wakati wa kujifungua....ila kwa ninachofahamu mie, usimwage mbegu ndani miez ya kujifungua mama inapokaribia..maana mbegu huenda kukaa juu ya kichwa cha mtoto
Madhara yapo unambemenda mtoto
Sex during pregnancy haina madhara...very safe...
Kiafya inashauriwa kukutana na mkeo hata akiwa mjamzito ili kuboresha uimara wa njia wakati wa kujifungua....ila kwa ninachofahamu mie, usimwage mbegu ndani miez ya kujifungua mama inapokaribia..maana mbegu huenda kukaa juu ya kichwa cha mtoto
Kiafya inashauriwa kukutana na mkeo hata akiwa mjamzito ili kuboresha uimara wa njia wakati wa kujifungua....ila kwa ninachofahamu mie, usimwage mbegu ndani miez ya kujifungua mama inapokaribia..maana mbegu huenda kukaa juu ya kichwa cha mtoto
Madhara ya kiafya specifically kwa mama mjamzito hakuna na unaweza kufanya tendo la ndoa mpaka masaa kadhaa kabla ya kuaanza uchungu(hakuna kanuni au formula).
Lakini usisahau kuwa mama mjamzito kama alivyo mwanamke mwingine aweza kuambukizwa magonjwa ya zinaa kama ukimwi,kaswende n.k ambayo huweza kupelekea madhara kwa kichanga alichokibeba au hata mimba kuharibika.
Mikiki mikiki ya tendo la ndoa wakati wa ujauzitto huweza kupelekea kuanza kwa uchungu na hii yaweza kusababisha mimba changa kuharibika/kutoka.
Kuna wakati kina mama wajawazitto hutakiwa kulazwa hospitali(complete bed rest) ili kumuepusha na vikazi kazi vya nyumbani mojawapo ni hiyo ya kina baba kijacho.
Haimaanishi tutumie maelezo haya kumshauri baba kijacho kuwa ukitaka uchungu uanze basi kula mzigo kijeshijeshi!na pia haimaanishi kwa wale walionasa kwa bahati mbaya wadhanie kuwa kuliwa mzigo kijeshijeshi kurasaidia kutoa mimba!
All in all hili ni swali zuri na linakumbushia sekta ya afya nchini kuboresha aina ya elimu inayotolewa katika kliniki za wajawazitto.
Nashauri kama wewe ni baba kijacho ni vizuri ukaambatana na mama kijacho kwenda kliniki ili kujaribu kuondoa maswali yanayoibuka katika kipindi cha ujauzitto,ukifika jaribu pia kupata majibu kwa daktari wa kinamama(OBSGyn) itakusaidia.
up to 8 months kama mama anahtaji, ila uwe makin na sex style uslalie tumbo pimbi wewe
Mbuuulaa!! hv naanzaje kwenda kliniki, nipange foleni kwenye yale mabenchi.. Mi nansubirigi nje kwenye gar
njia kuwa imara maana yake ni nini?
Unapoongelea njia kwa mama anayejifungua tunamaanisha cervix(wengine huiita shingo ya uzazi).Kabla ya uchungu kuanza shingo ya uzazi huwa ndefu na nene,mfano wake ni kama unapokata mdomo wa papai na kujaribu kuingiza kidole..!
Uchungu unapoanza shingo ya uzazi huvutwa kuelekea ndani na kutanuka na pia hulegea na kubakia kama mfano wa mdomo wa kondomu au 'utumbo maziwa'
Utanukaji huu hupelekea uchungu usiotoa machozi ambao mimi kama mwanaume siwezi kujua kipimo chake.
Pia utanukaji huu huweza kutabiriwa kwani unaweza ukafuata kanuni ya sm moja kila lisaa limoja.
NJIA KWA MAANA YA NYONGA
Pia tunaweza kuiongelea njia kwa maana ya nyonga au pelvis.kiufupi hii ni mifupa na inaweza ikawa michanga(nyonga za under 18),inaweza ikawa na kilema,inaweza ikafanania na ya kiume,inaweza ikawa imezeeka.Yote haya yanaweza kupelekea ugumu wa mtoto kupita katika njia hii fupi lakini yenye kona kali na mabonde....!
Naweza kusema si jambo la kawaida kwa uboo wa mwanadamu kufikia njia hizo nilizotaja.
Boss angalau mwanamke aanze kliniki mimba ikiwa Na miezi mingapiMimi Wangu Tokea Mimba Imetinga hadi Siku anapata Uchungu wa Kujifungua Nilikuwa NAMKANYAGA Tu na Amejifungua Toto Zuri Kweli TENA La Kiume Lina Afya na Halina Tatizo Lolote. Ila Msiige Kwani Wanawake Hawafanani na Wanatofautiana Kwa Mengi sana na Haswa ktk Suala Zima la Kufanya Mapenzi na NILIKUWA NAMKANYAGA KWA SPIDI ILE ILE YA Supersonic Jet bila Kuremba.
Duhwakuu, mbona nilipata nyepesi nyepesi kwamba endapo utamgegeda mwanamama mwenye mimba unasababisha mtoto anazaliwa akiwa na nywele kama kipara?
zaidi zaidi, hii humuathiri mpaka hata kwenye kukua kwake, yani mtoto mdogo lakini anakuwa na asili ya kipara!
je kuna ukweli wowote juu ya hili?