Mh..jf we siku imeanza tulivu ya alhamic..umeolewa?ebu jiulize mama yako angetoa mimba yako ungekuwa hapa leo..watu wanalilia watoto kila siku wewe unataka kutoa..kaa utulie lea hiyo mimba ni miezi 3 tu ya misukosuko yote yatakwisha..ukiona shida kunywa vitu vichachu..
kuitoa ni kuua,hicho ni kiumbe chako mwenyewe...Habari zenu
Wapendwa naujauzito wa mwezi na nusu,inanisumbua natapika sana yaani kula cwezi na nikila natapika.watu wananishauri nitoe kwani naweza poteza kazi kwa hali hiyo.jamani kuna tiba kwa hili tatizo.nisaidieni sipend kuitoa.
Kuna dawa za kuzuia kutapika mwone daktari utazipata ni nzuri sana
Nashukuru kwa ushauri nimeolewa ila mume wangu yupo mbali nami kikazi.
hiyo ni hali ya muda tu itaisha vumilia mpendwa
Asante nasumbuka jamani kama ndivyo zilivyo acha nivumilie ila mngeniona mngenionea huruma mwezi tu huo nimekonda sana,hakuna kinachokaa tumboni.
Hiyo mimba ya mmeo au ya kidumu?
Uwe unatembea na kiloba
kuitoa ni kuua,hicho ni kiumbe chako mwenyewe...
kuitoa ni kuua,hicho ni kiumbe chako mwenyewe...
wakikufukuza una wapiga na lawsuit watakulipa pesa mingi sana.Asante kwa ushauri, shida nyingine ninakibarua tu kampuni binafsi.naogopa kupoteza kazi ndo mana kama kuna matibabu kwa hili nisaidieni
Right. Ni mapito tu, maudhi yataishahiyo ni hali ya muda tu itaisha vumilia mpendwa
Hahahahahaha.Habari zenu
Wapendwa naujauzito wa mwezi na nusu,inanisumbua natapika sana yaani kula cwezi na nikila natapika.watu wananishauri nitoe kwani naweza poteza kazi kwa hali hiyo.jamani kuna tiba kwa hili tatizo.nisaidieni sipend kuitoa.
Dada samahani kwa lugha chafu nitakayoitumia....
Hivi una akili timamu???
Yaan unathamini kazi kuliko ndoa yako na uzazi wako?? Wanawake wengine hawalali usiku kucha, wanapoteza pesa na muda kutafuta ujauzito wewe unataka utoe kisa kutapika???? Je kama ndiye mtoto pekee uliyepangiwa kumzaa itakuwaje?? Ndio wale wale wanaishia kwa waganga wakitafuta mchawi kumbe wamejichawia wao wenyewe!!!
Huo ni upepo tu utapita... Hao wanaokushauri utoe ni wanafiki, toa uone cha moto utakiona. Unadhani mimba ni lelemama eeh.... Kama hukuwa tayari kuolewa bora usingekubali kuolewa na kumpotezea kijana wa watu muda.
Ulidhani unaolewa kwenda kuwa pambo la nyumba ya huyo mwanaume?? Unadhani ukitoa hiyo mimba, afu ukaja kubeba nyingine hutopatwa hayo maswahibu??????
Nimekuchukia aiseeeee........
Ungekuwa mdogo wangu wallah ningekukana!!!!!!!
Hahahahahaha.
JF ni balaaaaaaaaa!
kingasti njoo uone mambo yangu huku,we si ulinidengulia?basi mwenzio kaleta feedback JF!!!!
Chezeya mabao yangu mie eeeh!
Shuti moja imo!!!!!
Mpenzi zejame tulia usipanic sawa eeeh.
Mambo yote yatakua sawa soon.
Alafu nimekurushia pesa ya mafuta kwa M-Pesa sawa mama!!mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!