kapistrano
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,244
- 454
Nashukuru kwa ushauri na kunielewa pia. Mnisamehe nilipokosea
Karibu tena hakuna mkamilifu kila mmmoja ana mapungufu yake mungu akubariki ujifungue salama na uanze maisha mapya ya mzazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru kwa ushauri na kunielewa pia. Mnisamehe nilipokosea
Usijari laazizi LOL!Ntafanya hivyo ila usisahau kunijulia hali basi si unajua,we ndo faraja yangu
Ata kama yuko mbali mpenzi vumilia..kuna watu wanateseka bedrest mpaka miezi 9..kila la kheri yatakwisha tu ukisikia kuwa mama ndio hivyo..Nashukuru kwa ushauri nimeolewa ila mume wangu yupo mbali nami kikazi.
Bora upoteze kaz kuliko hiko kiumbe kaz utapata 2.
Habari zenu
Wapendwa naujauzito wa mwezi na nusu,inanisumbua natapika sana yaani
kula cwezi na nikila natapika.watu wananishauri nitoe kwani naweza
poteza kazi kwa hali hiyo.jamani kuna tiba kwa hili tatizo.nisaidieni
sipend kuitoa.
Kinachosababisha kutapika, huwa kuna kitu kamaa makohozi yanakaa kooni au kwenye mfuko wa chakula juu juu. Pia huwa kuna nyongo inakaa maeneo hayo hayo.
Ili chakula kikae lazima hivyo vitu viwili vitoke. Ukiamka asubuhi kabla hujala kitu, piga mswaki na kuupitisha kooni. Utatapika sana, tena sana. Pitisha hadi usikie koo lote ni safi, baaada ya hapo unaweza kula chochote na hutakaa utapike.
Kama ni kuchoma sindano ama dawa utakunywa ngapi? Ukijua utamu wa kukata kiuno jua na kubeba masahibu yake, ushakua hivyo si mtoto tena.
Unataka kuitoa uliolewa ili? Ulilengesha ili? Muombe Mungu msamaha kama uliwaza hata kutaka kuitoa
Pole dada yangu, mimi ni mume na mke wangu alikuwa na matatizo kama hayo kwenye ujauzito wa mtoto wetu wa kwanza mpaka mimi mwenyewe nilikonda jinsi nilivyokuwa namuonea huruma. So I can feel your pain.
Tiba: Kula ginger biscuit, ginger tea na tafuna ginger yenyewe huko kutapika na kichefuchefu kitaisha. Tena anza sasa hivi usisubiri muda upite, halafu baada ya nusu saa tupe feedback. Hii ni tiba tosha ya hili tatizo na kesho kazini utarudi. Nawakalisha
Pole sana kwa hali hiyo uliyonayo,ni hali ya mpito tu, jaribu kuwa unatafuna tangawizi mara kwa mara inasaidia.
kama uko arusha nenda sent thomas;kamuone dkt.Msuya;anadawa za kuzuia kutapika ;alinisaidia sana