Pole dada yangu, mimi ni mume na mke wangu alikuwa na matatizo kama hayo kwenye ujauzito wa mtoto wetu wa kwanza mpaka mimi mwenyewe nilikonda jinsi nilivyokuwa namuonea huruma. So I can feel your pain.
Tiba: Kula ginger biscuit, ginger tea na tafuna ginger yenyewe huko kutapika na kichefuchefu kitaisha. Tena anza sasa hivi usisubiri muda upite, halafu baada ya nusu saa tupe feedback. Hii ni tiba tosha ya hili tatizo na kesho kazini utarudi. Nawakalisha
Ubarikiwe kaka yangu asante