Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ni msomi mwenye shahada ya sheria. Anakunywa mpaka anapoteza ufahamu.
Anajikojolea popote na hachagui neno. Wazazi wake wamechoka, wameongea sana na wamepiga sana.
Je tumsaidieje mtu huyu?
Yupo humu? we unajuana nae? au tutoe ushauri tu?Ni msomi mwenye shahada ya sheria. Anakunywa mpaka anapoteza ufahamu.
Anajikojolea popote na hachagui neno. Wazazi wake wamechoka, wameongea sana na wamepiga sana.
Je tumsaidieje mtu huyu?
He!! Unataka akaozee jela??Mbake au mpige sangi
Mlete niishi nae maana bila pombe kwangu kazi hazifanyiki :smile-big::smile-big::smile-big:
<br />Hivi mtu kwa nini akiona amelewa haachi anazidi kujikokomea mabia tu bila kujijali? Anahitaji msaada wa kisaikolojia maana hata hiyo shule inakuwa haina maana sasa