Mwanamke mmoja miongoni mwa waathirika wa kashfa ya ngono ajiua kuepuka aibu ya Baltasar Engonga aliyenaswa na Video 400 za ngono na wake wa viongozi

Nina wasiwasi hata mke wa Raisi kashaliwa, lakini wanaficha tu kuepusha fedheha na aibu kwa Raisi.

Itakuwa ni ghadhabu kubwa sana.
Noma sana!
 
Wengi wa masikini huwa wanajua sana kujifariji eti matajiri hatuna nguvu za kiume mara sijui wanavibamia Sasa Jana wamejionea wake zao wanavyogongwa na tajiri kutoka guinea yaani wanawake zaidi ya mia 400 na kawachakaza vibaya San aisee wazee msijifariji matajiri tuna hatari tunapiga paipu na tuna ndonga za maana
 
Bongo wanatakiwa wawepo hawa jamaa wapigiwe..sema kibongobongo mtu unaweza jikuta kwenye kiroba au umepotea πŸ˜„

Ova
 
Kawachakaza sana
Mke sjui wa igp twende
Mke bosi usalama,jaji twende
Fukuafukuaa tu

Ova
 

View: https://x.com/i/status/1853543758559608953
 
Alikuwa anatumia nguvu za Giza au?
Alikuwa anatumia nguvu za giza au!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…