Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hahahaa.A woman who has gone ahead to taste different men's dick can never be satisfied by a single man
Hawa ni wanawake ambao hawana sexual discipline
Ni jukumu la mtaa kuridhisha sexual desires zao
Hahahaa.
Kuna watu eti hawajapenda kwa nini huyo jamaa kamchiti mkewe.
Ila wako kimya kuhusu wale wanawake ambao kachiti nao ambao inasemekana ni wake za watu.
Kwa maana hiyo, nao wamewachiti waume zao.
But some people have no smoke for them? Why?
🤣
Esp if a man has married a non-virginMarriage does not guarantee loyalty or fidelity.
Wanaume waliochitiwa na wake zao hawapati huruma….Nimeona feminists wengi wakidai hivyo tena wakitumia picha ya mkewe na watoto wake ili tumwonee huruma
Wanasahau mwamba naye alimkuta mkewe sio bikira watu walishajipigia sana
The game is the game
View attachment 3144721
Wanaume waliochitiwa na wake zao hawapati huruma….
That’s just downright hypocrisy.
Pengine alitumia hidden cameraCha ajabu wanawake walikuwa comfortable pindi wanarekodiwa wanampa ushirikiano.
hapana kaangalie vzuri utaona kuna mda wanaake wenyewe ndio walikua wanaiset kamera iliyowekwa mezani kabisa(settledPengine alitumia hidden camera
wote watatu??Juzi kati kuna jamaa yangu mmoja kagundua watoto wote watatu kachapiwa ndoani , kahamia bar anamkia kazini humo humo😂😂😂
wote watatu??
amefanyiwa ukatili mkubwa sana, hawa wanawake siku hizi, bora kuishi na ng'ombe una uhakika wa maziwaWote mkuu.
Yan, mwana anajidunga pombe kama kachanganyikiwaamefanyiwa ukatili mkubwa sana, hawa wanawake siku hizi, bora kuishi na ng'ombe una uhakika wa maziwa
Alioa mke wa mtu, huyo mwanamke hana huruma kabisa, hapo atasema shetani alimpitia au walikaa kijiwe kimoja na shetanYan, mwana anajidunga pombe kama kachanganyikiwa
https://www.facebook.com/Wakuu
Taarifa kutoka Equatorial Guinea zinaeleza Mwanamke mmoja anayedaiwa kuwa muathirika wa kashfa ya video za ngono za mwanasiasa wa Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, amejiua ili kuondokaa na aibu baada kigogo huyo kunaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mbalimbali mashuhuri.
Aidha, Serikali ya Equatorial Guinea imewafuta kazi maafisa wote wa serikali ambao walihusishwa na kufanya mapenzi katika ofisi za wizara. Makamu wa Rais Teodoro Nguema amesema kuwa kitendo hicho ni ukiukwaji wa Kanuni za Maadili na sheria za nchi.
Pia, Soma: Guinea: Kigogo anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati
mbona mimi sijaona hata moja au sina bahati?
Hapana mkuu, huyo aliyejiua alikuwa aware toka jamaa anaiset cameraPengine alitumia hidden camera
Kwa hapa kwetu kwa cheo chake ni kama Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi Kama vile TAKUKURU, au FIUHivi yule jamaa yupo kwenye kundi la matajiri au wakubwa wa serikali? Yule si ni CAG kwa hapa kwetu? Au mi ndio sijaelewa kile Kingereza?