Mwanamke mmoja miongoni mwa waathirika wa kashfa ya ngono ajiua kuepuka aibu ya Baltasar Engonga aliyenaswa na Video 400 za ngono na wake wa viongozi

Mwanamke mmoja miongoni mwa waathirika wa kashfa ya ngono ajiua kuepuka aibu ya Baltasar Engonga aliyenaswa na Video 400 za ngono na wake wa viongozi

A woman who has gone ahead to taste different men's dick can never be satisfied by a single man

Hawa ni wanawake ambao hawana sexual discipline

Ni jukumu la mtaa kuridhisha sexual desires zao
Hahahaa.

Kuna watu eti hawajapenda kwa nini huyo jamaa kamchiti mkewe.

Ila wako kimya kuhusu wale wanawake ambao kachiti nao ambao inasemekana ni wake za watu.

Kwa maana hiyo, nao wamewachiti waume zao.

But some people have no smoke for them? Why?

🤣
 
Hahahaa.

Kuna watu eti hawajapenda kwa nini huyo jamaa kamchiti mkewe.

Ila wako kimya kuhusu wale wanawake ambao kachiti nao ambao inasemekana ni wake za watu.

Kwa maana hiyo, nao wamewachiti waume zao.

But some people have no smoke for them? Why?

🤣
Nimeona feminists wengi wakidai hivyo tena wakitumia picha ya mkewe na watoto wake ili tumwonee huruma

Wanasahau mwamba naye alimkuta mkewe sio bikira watu walishajipigia sana

The game is the game

20241105_120104.jpg
 
Wanaume waliochitiwa na wake zao hawapati huruma….

That’s just downright hypocrisy.
Kuna mwanamke 1 aliyechitiwa na mwanaume 1 na kuna wanaume 400 waliochitiwa na wake zao hawaonewi huruma. Dunia haijawahi kuwa na huruma na mwanaume

Kuna comment ya mdada mmoja anasema eti mke wa jamaa aombewe sikuona akisema wale wanaume 400 waombewe

Double standard is absolutely insane
 
Wakuu

Taarifa kutoka Equatorial Guinea zinaeleza Mwanamke mmoja anayedaiwa kuwa muathirika wa kashfa ya video za ngono za mwanasiasa wa Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, amejiua ili kuondokaa na aibu baada kigogo huyo kunaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mbalimbali mashuhuri.

Aidha, Serikali ya Equatorial Guinea imewafuta kazi maafisa wote wa serikali ambao walihusishwa na kufanya mapenzi katika ofisi za wizara. Makamu wa Rais Teodoro Nguema amesema kuwa kitendo hicho ni ukiukwaji wa Kanuni za Maadili na sheria za nchi.

Pia, Soma: Guinea: Kigogo anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

View: https://www.facebook.com/share/v/GTV4KjuRDTLrXhwN/
 
The law of nature; kufuri linalo funguliwa na zaidi ya funguo 1 ni hatari, litabadirishwa haraka sana; halizuii wezi BUT ufunguo unao fungua kufuri zaidi moja, huo utatunzwa sana cause unapunguza gharama za utunzaji wa mafunguo mengi.
 
Kiukweli wanawake nawaona takataka tu aisee baada ya kuona video za jamaa yaani kila nikikutana na mwanamke barabarani mimi ni mwendo wa kuwatukana na kuwazodoa na pia nikikutana nao hospital wakati wa kuwatibu au kuwazalisha nawatukana au kuwapiga makofi tu yaani wanawake sijui wapoje aisee yaani ndiyo chanzo cha ushetani dunia mzima aisee

Fear woman hivi viumbe hawa ndiyo chanzo cha mabaya dunia mzima aisee yaani demu yupo kwa mshikaji anaikatia kabisa na kuililia kabisa halafu kumbe ni mke wa wake za watu aisee sasa sijajua waume zao wapo kati hali gani aisee halafu na ubaya zaidi aisee demu anamsifia mshikaji kabisa aiseee kwa ni special maneno ambayo hata mumewe hajawai kumuambia! Shame on you woman
 
Back
Top Bottom