Mwanamke mmoja miongoni mwa waathirika wa kashfa ya ngono ajiua kuepuka aibu ya Baltasar Engonga aliyenaswa na Video 400 za ngono na wake wa viongozi

Stop hast generalization to all women.
It's completely unfair
 
We jiulize mtoto wa Zuma Alikosa nini Hadi kuolewa mke wa 16 kwa mswati. Ni jambo la kushangaza sana
Matajiri huwa wanapeana watoto kuoa kama zawadi tu.

Mbona waziri fulani wa fedha katika nchi fulani aliwahi kumpa bosi wake zawadi ya mtoto aoe na jamaa akaoa(sikumbuki alikua ni mke wa ngapi lakini)
 
hapana kaangalie vzuri utaona kuna mda wanaake wenyewe ndio walikua wanaiset kamera iliyowekwa mezani kabisa(settled
Sawa sawa sijaziona hizo video ila pia huwa siziangalii hata watu waliokuwa wanapenda kunitumia nilishawakataza
 
nasikia jamaa ana undugu flani na P-DIDDY!!
 
Makamu wa Rais wa Guinea ya Ikweta, Teodoro Obiang Nguema Mangue amesema Serikali ya Nchi hiyo itawatimua kazini Maafisa na Watumishi wote wa Umma ambao ni miongoni mwa Wanawake zaidi ya 400 waliorekodiwa wakifanya mapenzi na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) la Nchini humo, Baltasar Ebang Engonga (54) katika maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye Ofisi za Serikali na nyumbani kwa Ebang.

Ebang ambaye ni Baba wa Familia ya Watoto sita, tayari amekamatwa kwa kosa la kujirekodi akiwa anafanya mapenzi na Wanawake hao ambao wengine ni Wake za Watu Mdogo Mke wa Kaka yake, Binadamu yake, Dada wa Rais wa Nchi hiyo, Mke wa Mkuu wa Ulinzi wa Rais wa Nchi hiyo, Mke wa Mwanasheria Mkuu wa Nchi hiyo na Mtoto wa Mkuu wa Jeshi la Polisi la Nchi hiyo.

Wengine walioonekana wakifanya mapenzi na Ebang kwenye video hizo ni Mke wa Mlinzi wake (Bodyguard), Mke wa Mchungaji wake, Wake wa Mawaziri kadhaa wa Nchi hiyo, Mke wa Mjomba wake ambaye ni Mjamzito, Marafiki 15 wa Mdogo wake wa kike na Wanawake wengine mbalimbali ambapo imeelezwa wote hao walionekana kuridhia video hizo kurekodiwa.

Ebang Engonga ni Mkurugenzi Mkuu Shirika la ANIF ambalo ni Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha la Equtorial Guinea linalohusika na kusimamia uchunguzi wa kifedha na kusimamia shughuli zinazolenga kudhibiti ufisadi wa kifedha Nchini humo.

Toa maoni yako.
 
Jamaa atakuwa na tatizo la kisaikolojia kitaalam linaitwa limenitoka kidogo hali iyo inapelekea kufanya kitu cha hatari chochote bila kuogopa nn kitatokea badae hata wakimuacha hapo ataendelea ingawa hatofanya tena na hao
 
Hao unaowaona takataka na aliyekuxaa yupo au hujazaliwa na mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…